Lowassa ahusishwa na Utapeli wa Nyumba Tegeta

Lowassa ahusishwa na Utapeli wa Nyumba Tegeta

as that of your parents...

Miccm mna mitusi kha. Ila poa mwisho wa vimdomo vyenu umewadia. Vp naona jamaa yenu lowasa kaondolewa wafuasi 12 kama yesu ha ha ha JK bana kisha akawawekea kigingi bingwa wa matusi Mkuu alieweza mtukana lowasa
 
Wewe ni stupid just like others.Akufahamu wewe ili iweje.Unamtisha?
Kutwa nzima kushinda mitandaoni kuandika upuuzi.
A.s.s.h.o.le!!!

Mkuu,
Kesho ukiwa na muda nicheki nina bia zako kadhaa!!
 
je lile katapila ni la nani? wangelichoma moto tu ili iwe fundisho kwa makanjanja wa siasa za maji taka.
 
Huyu mzee anavyotajwa kila kukicha mmh!!! Ila na yeye ni mvumilivu sana ningekua ni mimi pangechimbika.
 
You are traumatized my the strategic power that the son of herder is in possession. Every morning you come up with made up stories. It is too late and unfortute for river channel cannot be altered at the current moment. The marathon is nearing to an end.
 
Katika hali ya kutia wasiwasi na kushangaza msomali husen bashe jana nilimwona akiongea kama msemaji wa edward lowasa kuhusu sakata la ubomoaji wa nyumba kwa kutumia jina la Lowassa.

Kwa mtakaokumbuka huyu Bashe alikuwa msemaji wa Rostam na pia msimamizi wa magazeti ya Rostam, sasa baada ya Rostam kukimbia nchi baada ya kashfa kibao na watu kuabiri kuwa Rostam aliuweka uongozi wa Kikwete; Je, ni mkakati wa Rostam wa kuendelea kuitawala nchi hii kwa remote?

Je, kama jibu ni ndio ni nini mustakabali wa nchi hii kama lengo la Rostam litatimia?
 
Naona unazunguka tu unataka kusema nini?
 
Ringo wewe Ringo, watz tulishasahau kuitana kwa makabila yetu. Pili kuwa msemaji wa mtu fulani ni matakwa ya anayesemewa kama ambavyo wewe kuwa msemaji wa Mengi, Kimei au hata Mtei. Tatu Rostam hajakimbia na wala sidhani atakimbia nchi kwasababu gani! Hilo la kuendesha nchi kwa rimoti nadhani ni tusi kwa rais na watz wote. Ujumbe wako ungetufikia vizuri tu kama usingeuwasilisha kwa hisia na "chuki" dhidi ya mtu aitwaye aidha Bashe,Lowasa au Rostam kama sio Kikwete.
 
Sasa naanza pata picha, kwanini Mh. Lowasa anapingwa sana? Anapingwa na wale walioko madarakani tu, ni yeye anaeujua huu mfumo na akiingia atafumuafumua, kuanzia walikukwapua pesa kupitia STANBIC. Pap na vinyamkela vinavyofanana na huo uwozo.

Team Lowasa itashinda na wananchi washajua ukweli, tuko pamoja kamanda, wewe ndio mtetezi na utatusaidia watanzania kutegua vitendawili vingi vinavyoendelea bila majibu.
 
Hii kitu nimeiona juzi pale TEGETA NYAISHOZI jamaa wamekuja na greda lao wanataka kubomoa nyumba ya jamaa mkongwe kabisa wa hapo...greda lenyewe la halimashauli ya kinondoni wamelichukua bila kibali walipo ulizwa mmetumwa na nani wkadai LOWASA....Ila wakazi wa hapo walisema Lowasa mwenyewe alisha kuja kipindi cha nyuma kama mwezi umepita na kuwambia waache kulipa kodi kwani yeye ndo mmiliki halali wa nyumba hiyo....sasa mwenyewe nashangaa kwa nn huyu jamaa anakomaa na vi2 vidogo kiasi hicho akati ndo mtu anae gawa pesa kama njugu huko makanisani na misikitni?
 
Sasa naanza pata picha, kwanini Mh. Lowasa anapingwa sana? Anapingwa na wale walioko madarakani tu, ni yeye anaeujua huu mfumo na akiingia atafumuafumua, kuanzia walikukwapua pesa kupitia STANBIC. Pap na vinyamkela vinavyofanana na huo uwozo.

Team Lowasa itashinda na wananchi washajua ukweli, tuko pamoja kamanda, wewe ndio mtetezi na utatusaidia watanzania kutegua vitendawili vingi vinavyoendelea bila majibu.


Acha ushabiki wa kisiasa, umewai kumsikia Lowasa akitamka neno rushwa? hivi akina Mzee Butiku nao wako madarakani? mbona nao msimamo wao uko wazi kuhusiana na hilo.Baba wa taifa wakati anamkataa alikua anaogopa nini?
 
Bashe=Rostam=Lowassa....chini ya MC Clouds FM/TV....sherehe ndiyo zinaanza
 
Kweli kabisa mkuu, kuna wapumbavu wanataka kusafiria nyota ya LOWASSA.

hivii nyie wapambe nukssss hamjamsoma BABA RIZ kwa nini ameamua kusambaratisha wakuu wa wilaya nchi nzima? mawili kwanza kuvuruga plan zote za lowassa kwa aliotegemea wam'bebe:kamuweka MAKONDA huyu ndio fimbo yake tena kampa ukuu wa WILAYA mjini DAR wilaya anayoishi MZEE wenu wa MONDULI. sasa atatokea wapi bila kupitia kwa HUYU DOGO? labda amuinamie..
pili: kafanya mageuzi haya ili kutafuta njia ya kutokea maana kichapo cha CHAGUZI ZA SIRIKALI ZA MITAA zimemchanganya. hivyo labda hawa makada wapya wanaweza kuokoa jahazi. ANGALIZO: Kichapo cha chaguzi za serikali za mitaa kitaendelea tena ndani ya CHAGUZI KUU OCTOBER 2015
JIPANGENI. Vijana wa LUMUMBA
 
@ Morinyo

Ukweli wa maneno baba wa Taifa alimkataa, hayana hakika sana, maana yalisemwa sirini kama kweli.
Hata hivyo, yule aliyekubalika na baba wa Taifa, ndiye huyo huyo ameingiza nchi kwenye huu mtifuano tulio nao.
 
Lowasa bado ana tabia za wizi hiyo itakuwa ni team yake
 
Back
Top Bottom