Lowassa ahusishwa na Utapeli wa Nyumba Tegeta

Lowassa ahusishwa na Utapeli wa Nyumba Tegeta

Nkobe

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2013
Posts
2,230
Reaction score
3,333
Watu waliojitambulisha kuwa wana uhusiano na Lowassa, wamevamia nyumba ya mtu Tegeta na kutaka kuibomoa. Baada ya kufuatiliwa, mwanamke mmoja amesema kuwa ni ndugu wa Lowassa, wametumwa na Lowassa kubomoa hiyo nyumba

Source: ITV
 
Watu waliojitambulisha kuwa wana uhusiano na Lowasa, wamevamia nyumba ya mtu Tegeta na kutaka kuibomoa. Baada ya kufuatiliwa, mwanamke mmoja amesema kuwa ni ndugu wa Lowasa na hilo eneo wametumwa na Lowasa kubomoa nyumba

Source:ITV

Hizi Ni dalili za kushindwa kwa wapinzani WA Lowassa.

cc: Joka la Mdimu
 
  • Thanks
Reactions: PPM
Hivi kwanini Lowasa ana tamaa hivi?, hivi pesa zote alizoiba hajatosha tu
 
Watu waliojitambulisha kuwa wana uhusiano na Lowasa, wamevamia nyumba ya mtu Tegeta na kutaka kuibomoa. Baada ya kufuatiliwa, mwanamke mmoja amesema kuwa ni ndugu wa Lowasa, wametumwa na Lowasa kubomoa hiyo nyumba

Source:ITV

Msemaji wa Lowassa ndie huyo Hussien Bashe?
 
Watu waliojitambulisha kuwa wana uhusiano na Lowasa, wamevamia nyumba ya mtu Tegeta na kutaka kuibomoa. Baada ya kufuatiliwa, mwanamke mmoja amesema kuwa ni ndugu wa Lowasa, wametumwa na Lowasa kubomoa hiyo nyumba

Source:ITV
Taarifa hii hata mimi nimeiona.

Hussein Bashe, msemaji wa Lowassa, alipoulizwa na ITV kuhusiana na swala hilo, alikanusha na akasema hizo ni mbinu za kuchafuana na kwamba Lowassa hahusiki.

Vita ya uraisi inawatesa sana magamba.
 
Watu waliojitambulisha kuwa wana uhusiano na Lowasa, wamevamia nyumba ya mtu Tegeta na kutaka kuibomoa. Baada ya kufuatiliwa, mwanamke mmoja amesema kuwa ni ndugu wa Lowasa, wametumwa na Lowasa kubomoa hiyo nyumba

Source:ITV

Nafkiri tamko rasmi pia umeliona, lililotolewa na Bashe..... Kwa kifupi hao watu ni matapeli wakubwa sana... Lowassa hana kiwanja Tegeta wala Nyumba
 
Ukichaa ndio unakuanza, unaaminishwa maneno ya kijinga na wahuni na wewe unaingia mkenge! mjinga sana wewe!

Sijahaminishwa, nimeona mwenyewe anavyogawa pesa, pia nimeshuhudia akiwa waziri mkuu nchi iliingia mkataba wa kishenzi wa Richmond
 
Back
Top Bottom