Watu
Platinum Member
- May 12, 2008
- 3,231
- 1,472
Ndiyo huyo huyo...
Na yule Abubakari Liyongo ni nani wa Lowassa?
Ndiyo huyo huyo...
Ugekuwa unanifahamu usingeandika ujinga kama huu, Ukuu wa wilaya ni cheo cha kitoto sana kwangu!
ccm watauanaLowassa tamaa itamuua kumbe hata kwenye utapeli yumo :🙂
Itakuwa kweli. Lowasa ni haramia. Aliifilisi nchi kwa kutumia Richmond ambayo alijua haikuwa na uwezo wowote kweli atashindwa kuhujumu mtu binafsi?
Jambazi ni jambazi tu na sasa ananunua urais kwa gharama yoyote haramu na kwa ujinga watz wamesahau kuwa lowasa ni kibaka
Na yule Abubakari Liyongo ni nani wa Lowassa?
Na hawatafanikiwa hata kwa dawa..... Kwa sasa Lowassa yuko mkono wa kulia wa Bwana
Kwahiyo huo moto wake ndio adhulumu nyumba za watu ?Lowasa motonwa kuotea mbali naona wanazidi kumuundia zengwe
Kwahiyo huo moto wake ndio adhulumu nyumba za watu ?
Hivi kwa mfano umekuja kujua habari hii ni kweli utafanyaje , usimwamini mwanaccm yeyote .Siasa! Mchezo mbaya sana, kuchafuana kama great thinker, changanya akili ya kuambiwa,kusoma,kuona+akili yako. Mmeanza siasa za kuchafuana! Mzee wa watu maskini kakaa kimyaa!, mm nimeiona hii habari itv, iangalie kwa umakini ni kama filamu ya amboni! Shit!
Hayo ni maigizo ya msanii AbdulBen
Ugekuwa unanifahamu usingeandika ujinga kama huu, Ukuu wa wilaya ni cheo cha kitoto sana kwangu!
as that of your parents...Wewe ni stupid just like others.Akufahamu wewe ili iweje.Unamtisha?
Kutwa nzima kushinda mitandaoni kuandika upuuzi.
A.s.s.h.o.le!!!