Lowassa Afunika Iringa

Bahat mbya wanafurika lkn hawapati wanachokitaka, wanaishia kuambiwa hbr za babu seya na mengne yasiyo na faida na shida zetu za msingi watz
 
Lowassa anatuletea porojo za babu Sea na Masheik wa muamsho. Hivi kweli hiyo ni hoja kwa watu maskini??? Pumbavu kabisa, hatutaki rais ZEZETA kama Lowassa. #HapaKaziTu MAGUFULI ndio rais.

Nilijua akili yako kumbe jina lako lina sadifu 'son of gamba' sheria inasemaje ata km ni rais taratib na sheria zitazingatiwa amka mtz ww
 
hivi si alisemaga mkipiga kura muondoke ,kazi ya kulinda ni yake ,leo anasema mlinde kura zake zisiibiwe....!
 

Hiyo picha sio ya Iringa, hapo ni Jangwani.
 

Hata mimi nashangaa! Kiongozi anstakiwa asikilize na sio kuongea. Wananchi ndio waongee. Porojo nyingi ni usanii tu.
 
Kama kuongea sana ndio sifa ya kuwa rais wa tz basi MPOKI angekuwa rais..
 

Paulo ni miongoni mwa Wapumbavu na masomo yake ni ya kipumbavu.
Hakuna udhaifu uliowahi kushinda Duniani
 
Magufuri anaahidi mambo mengi ambayo hata mtoto mdogo alie darasa la kwanza akisikia ataangua kicheko,siasa za ahadi hewa na kuhadaa wananchi zmepitwa na wakati,watanzania wa leo sio wa enzi zile za zidumu fikra za mwenyekiti....!!

Lowassa kawaahidi wapumbavu 'mahaba'
 

Any way siwezi kukulaumu wewe punguani tatizo mfumo, na ka ID kako ka juzi unakuja kusumbua watu huku. Unachotakiwa kujua kwamba sio wote wanaishi kwa msaada wa waarabu , kama wew na familia yako unaishi ivyo am sory for you am not your level dada yangu
 
Bahat mbya wanafurika lkn hawapati wanachokitaka, wanaishia kuambiwa hbr za babu seya na mengne yasiyo na faida na shida zetu za msingi watz

Tunazijua shida zetu hatutaki mtu aje atwambie tena, tunataka mtu wa kutwambia "...Tuitoe CCM madarakani na tuweke Katiba ya wananchi..! Hatutaki maneno mengi kwani tulisha yashiba miaka 54 yatosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…