Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,850
Leo hii Lowassa njiani akielekea Dodoma kwa ajili ya mafunzo ya wabunge wa UKAWA, amepata nafasi ya kusimama na kuwasalimu wakazi wa mnada wa Dakawa.
Amewashukuru sana kwa mapokezi na furaha yao juu yake.
Mungu aendelee kumlinda our next president 2020