Confirmed.
Nadhani hilo neno hapo juu sio geni kwako. Hivyo nina imani unajua vizuri matumizi ya neno hilo, na utaweza kulihusisha na hii habari.
Wana Ukumbi,
Katika hali ambayo imewaacha wengi midomo wazi na baadhi kubaki kukuna vichwa. Ni baada ya kugundua kuwa CHADEMA kwa sasa hali ni tete na inasemekana wamekosa kabisa mgombea atakae peperusha bendera ya chama kwa nafasi ya urais.
Lakini pia CHADEMA hao hao wameonelea sio vyema kuingia kwenye uchaguzi wakiwa hawana mtu anae kubalika na Watanzania wengi. Hivyo imewalazimu watazame vyama jirani vina nini kama ilivyo desturi kwao.
Sasa hapa kwenye nini CHADEMA wamepata kutoka vyama jirani ndio penye maajabu. Sikuwahi kutarajia CHADEMA itaweza kuibuka na jina la Lowassa kama tunu kwao kwenye kuelekea uchaguzi.
Ina maana huyu Lowassa sio yule aliyeitwa fisadi!?
Huyu Lowassa leo amebadilika nini hadi agombaniwe na vyama kugombea katika nafasi ya urais?
Au ni ukweli kwamba Lowassa alisingiziwa kuhusu ile tuhuma na sio kweli kuwa ni fisadi.
Je, kama Lowassa ni fisadi, kwanini Watanzania wawe nae bega kwa bega kwenye movement zake za kuwania urais?
Kweli maneno yametimia, "JIWE LILILO KATALIWA, LEO LIMEKUWA JIWE KUU LA PEMBENI".