Lowassa achanja mbuga; CHADEMA wammezea mate!

Kwa maneno mengine chadema ni jalala la ccm kwani karibu ya nusu ya wabunge wao ni wale waliotemwa na ccm kwenye kura za maoni akiwemo slaa.kwa hiyo ni kama tu ccm b
 
Ndesamburo wa CHADEMA ambae ana uwezo wa kumuweka binti yake na mkwe wake kwenye viti maalum vya ubunge kupitia chadema, kaamuwa kuwachana na mgombea wa CHADEMA na kumpigia debe Lowassa.

Usifanye maskhara katika haya mambo.

JK kawapeleka mama na mtoto kwenye nec na sasa kaanza kuwatafutia majimbo,taarifa zilizopo ni kwamba na Salma anapewa jimbo 2015.CCM ina wenyewe nyie wengine wapangaji tu.
 
Mada yako ikisomwa neno mtu atagundua tu kuwa umetumwa na Lowasa kupima upepo,Kajipange upya.
 
Ukishaona mfumo huu wa kuridhishana nafasi zilizoachwa wazi katika mazingira ya kisiasa kuna kitu nyuma ya pazia, kama si fukiafukia basi nani zaidi.
siku hizi nakufananisha na ndara za kwendea bafuni. sio yule great thinker niliyezoea kusoma comment zake tena. hivi we kibavicha cha kimsukule watoto wa viongozi hawaruhusiwi kugmbea au kuongooza kwenye jamii? mfano riz1 alishindana na imani madega kwenye kura za maoni ndani ya chama na akashinda kwa kura zaidi ya 750 kwa around 400. sasa hapo amerithishwa vipi? hivi unaweza linganisha na wale wabunge wa mambo maalumu walioteuliwa tokea kule tengeru walivyopatikana? mbona hamkuhoji hilo? kwa faida ya wewe lapa la kwendea chooni, two lucies densa, christina tobo lissu, rose slaa, joice mnkya mwenyestuli endelea mwenyewe kimsukule we.
 
Ukiona ukweli unaongelewa hadharani na majibu ya maudhi kwa wenye busara kumrudishia ni sawa na kuamua kumrushia jiwe mwenye matatizo ya akili, vinginevyo hatutajua nani mzima na nani mgonjwa.
 
Hela zenyewe za kwenda chalinze kwenye uchaguzi hamjapata wajerumani nao wamesitisha ufadhili mtajua zitto kuwa ni nani.
tatizo umeendelea kuwa lipumbavu, hivi huyo mumeo zito ndo alikuwa anawapa hela chadema, akili zingine hizi ni zaidi ya ujinga sasa! huwezi ku argue waache wanaume waendelee, kila siku zito zito nendeni akawaowe!!!
 
Ndesamburo wa CHADEMA ambae ana uwezo wa kumuweka binti yake na mkwe wake kwenye viti maalum vya ubunge kupitia chadema, kaamuwa kuwachana na mgombea wa CHADEMA na kumpigia debe Lowassa.

Usifanye maskhara katika haya mambo.

nashauri katika haya ukae pembeni maana watu wanaweza wakaja na data za ccm walivyowekana mtu na mdogo wake, mtu na mwanawe, mtu na mkewe na wazinzi wake, mtu na makahaba wake utakimbia mwenyewe. kwani kalenga ni mwana au baba wa waziri wa fedha aliyekufa. je chalinze nako ni baba au mwana wa mkuu mwenye nyumba, nani anampigia kampeni, hela ya nani. january ni mtoto au baba wa makamba. kawawa wa namtumbo ni mtoto wa mwana wa kawawa, the list is endless. mm nafikiri tukubali tu kuwa kama baba mwanasiasa na wanawe ni wanachama nao wana sifa za kuwa viongozi kwa mujibu wa katiba za vyama. kama hutaki basi kalale
 
Nina wasiwasi na akri yako au ni wewe unaetafutwa umetoroka milembe? Haya olewa sasa na Hao waume wako zito na lowasa na cjui utawahudumiaje maana wote ni mizigo
 
nashauri katika haya ukae pembeni maana watu wanaweza wakaja na data za ccm walivyowekana mtu na mdogo wake, mtu na mwanawe, mtu na mkewe na wazinzi wake, mtu na makahaba wake utakimbia mwenyewe. kwani kalenga ni mwana au baba wa waziri wa fedha aliyekufa. je chalinze nako ni baba au mwana wa mkuu mwenye nyumba, nani anampigia kampeni, hela ya nani. january ni mtoto au baba wa makamba. kawawa wa namtumbo ni mtoto wa mwana wa kawawa, the list is endless. mm nafikiri tukubali tu kuwa kama baba mwanasiasa na wanawe ni wanachama nao wana sifa za kuwa viongozi kwa mujibu wa katiba za vyama. kama hutaki basi kalale

Kuhusu Kalenga usiongee kabisa. Pale nyinyi hamkushiriki kupiga kura? na si Molemo aliyekuwa akitamba humu kwa uongo na kusema chadema 80% wamesha shinda?

Unajuwa maana ya kura na unajuwa maana ya viti vya upendeleo?
 
Last edited by a moderator:
Acha kumsemea Lowassa, mtu ambae hawezi hata kutetea serikali mbili,atawezaje kugombea urais?
 
Jf siku hizi imepoteza hadhi yake.yaani mtu anakurupuka na habari yake isiyo na kichwa wala miguu,eti naye anapata wachangiaji.cha ajabu wachangiaji wenyewe hawajisumbui japo kumhoji ushahidi,kisa eti kwakuwa katanguliza neno confirmed. This isn't the jf i used to know.
 
Utaendelea kujidanganya ni mgao lakini watu wakawaida ambao hajawahi kuiona picha yake au yeye mwenyewe live wanamkubali. Subiri kipenga cha mwisho kipulizwe utaujuwa ukweli.
 
CCM kitabaki milele kuwa Chama Cha Mapimbi. Ushabiki wa kipimbi, hoja za kipimbi inafadhili vijitu vilivyofilisika kuleta hoja za kipimbi hapa jf, hovyo kabisa
 
Jf siku hizi imepoteza hadhi yake.yaani mtu anakurupuka na habari yake isiyo na kichwa wala miguu,eti naye anapata wachangiaji.cha ajabu wachangiaji wenyewe hawajisumbui japo kumhoji ushahidi,kisa eti kwakuwa katanguliza neno confirmed. This isn't the jf i used to know.

jf ndio imekuwa hivyo
 
Ukiona ukweli unaongelewa hadharani na majibu ya maudhi kwa wenye busara kumrudishia ni sawa na kuamua kumrushia jiwe mwenye matatizo ya akili, vinginevyo hatutajua nani mzima na nani mgonjwa.
hebu niondokee huko we kibavicha. kama hata huelewi kikatiba, alichofanya Riz1 ni haki yake, tena nimekupa na takwimu halafu bado huelewi sina cha kukusaidia. tupa kule mbali kabisa we kibavicha cha kimsukule.
 
Back
Top Bottom