Lowassa achanja mbuga; CHADEMA wammezea mate!

Hoja mufilisi,tunapambana na katiba.CHADEMA wanatafuta rais wa Tanganyika au Tanzania?Labda CCM wanaoamini serikali 2
 
Ndesamburo wa CHADEMA ambae ana uwezo wa kumuweka binti yake na mkwe wake kwenye viti maalum vya ubunge kupitia chadema, kaamuwa kuwachana na mgombea wa CHADEMA na kumpigia debe Lowassa.

Usifanye maskhara katika haya mambo.

usipo wachafua viongozi wachadema huji sikii vizuri,kweli ww nijanga.unadhani chadema imekuja tu bila kujengwa nguvu na akina ndesamburo,na mbowe,kweli ww nijanga njaa itakufikisha mbali.
 
anza kutembea na usiishie KG, pitia manyovu chukua ndg zako mkawafuate wenzenu wengine mliowaacha BUJUMBURA yapata miaka mingi sasa. DHAMBI GANI ISIYOSAMEHEWA??? nani kakuambia unaweza kufanya dhambi ya UZINZI peke yako bila kushirikiana na mwenzako???
 
Confirmed.

maneno yametimia, "JIWE LILILO KATALIWA, LEO LIMEKUWA JIWE KUU LA PEMBENI".
Not yet, sentensi halisi ni "JIWE WALILOLIKATAA WAASHI, LITAFANYWA KUWA JIWE KUU LA PEMBENI!"
Note neno "litafanywa!", kwa vile mpaka sasa bado halijafanywa, bali linapangwa kufanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!, ili uweze kusema limetimia, inabidi usubirie hiyo 2015 tulishuhudie jiwe hili likiwa limesimama ndipo tuthibitishe!, kwa hali ilivyo, na Sitta kwenye usukani huu?1.
Pasco
 
teh........teh.........teh.........teh........thready ya kisiasa hii muda si mrefu matusi yataanza, teh.......teh......teh....... nitarudi baadaye kuangalia walivyopakana MAV!.
 
Kuna siku nilimkwoti Slaa kwenye sredi moja, nkamwambia usiseme sana, ukaja meza maneno yako.
Kama ni kweli, yatakuwa yametimia.
 
Hela zenyewe za kwenda chalinze kwenye uchaguzi hamjapata wajerumani nao wamesitisha ufadhili mtajua zitto kuwa ni nani.
......Maneno unayoyatoa na nikiangalia hiyo picha yako ulivyolala napata hisia kuwa kuna dume limejiegesha mgongoni kwako.
 
Not yet, mane halisi ni "JIWE WALILOLIKATAA WAASHI, LITAFANYWA KUWA JIWE KUU LA PEMBENI!"
Note neno "litafanywa!", kwa vile mpaka sasa bado halijafanywa, bali linapangwa kufanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!, ili uweze kusema limetimia, inabidi usubirie hiyo 2015 tulishuhudie jiwe hili likiwa limesimama ndipo tuthibitishe!, kwa hali ilivyo, na Sitta kwenye usukani huu?1.
Pasco

Mkuu Pasco,

Kama imefika hatua sasa CHADEMA wana mmendea Lowassa hiyo ina maana wana matumaini kuwa akisimama tu, Ikulu yao.

Nilikuwa nafanya mjadala na vijana fulani wa BAVICHA na baadhi ya Wakereketwa wa CHADEMA. Wengi wao wamekiri kuwa kama CHADEMA ikimkosa Lowassa, basi ni kheri CCM wamsimamishe awanie nafasi hiyo.

Kwa mujibu wa maelezo yao, ni wazi kuwa Lowassa kwa sasa ndio tumaini la Watanzania walio wengi. Na naamini katika mechanism yetu CCM kuwa atapitishwa.
 
Fisadi mkuu ni Mkuu ndio maana Lowasa alishindwa kumkamata kama Waziri Mkuu na akaresign/jiuzulu

Wana Ukumbi,

Katika hali ambayo imewaacha wengi midomo wazi na baadhi kubaki kukuna vichwa. Ni baada ya kugundua kuwa CHADEMA kwa sasa hali ni tete na inasemekana wamekosa kabisa mgombea atakae peperusha bendera ya chama kwa nafasi ya urais.

Lakini pia CHADEMA hao hao wameonelea sio vyema kuingia kwenye uchaguzi wakiwa hawana mtu anae kubalika na Watanzania wengi. Hivyo imewalazimu watazame vyama jirani vina nini kama ilivyo desturi kwao.

Sasa hapa kwenye nini CHADEMA wamepata kutoka vyama jirani ndio penye maajabu. Sikuwahi kutarajia CHADEMA itaweza kuibuka na jina la Lowassa kama tunu kwao kwenye kuelekea uchaguzi.

Ina maana huyu Lowassa sio yule aliyeitwa fisadi!?

Huyu Lowassa leo amebadilika nini hadi agombaniwe na vyama kugombea katika nafasi ya urais?

Au ni ukweli kwamba Lowassa alisingiziwa kuhusu ile tuhuma na sio kweli kuwa ni fisadi.

Je, kama Lowassa ni fisadi, kwanini Watanzania wawe nae bega kwa bega kwenye movement zake za kuwania urais?

Kweli maneno yametimia, "JIWE LILILO KATALIWA, LEO LIMEKUWA JIWE KUU LA PEMBENI".[/QUOTE]
 
Daa..! wengine tunapata tabu sana kuamini habari hii.
 
Ukishaona mfumo huu wa kuridhishana nafasi zilizoachwa wazi katika mazingira ya kisiasa kuna kitu nyuma ya pazia, kama si fukiafukia basi nani zaidi.

Hawa magamba hawajaridhika kuwarithisha watoto wao ubunge na sasa wanataka hata huo ubunge wanaowarithisha uwe wa kudumu!! Sio bure Kikwete anapowasihi wajumbe wa Katiba kuwa wasiweke ukomo kwa ubunge kwani Ridhiwani anaetarajiwa kuchaguliwa huko Chalinze hawezi kuufaidi iwapo ukomo utawekwa!!! Sasa hapo kuna interest za Taifa au familia? Huyu mkweree does not walk his talk!!! Sio kosa lake yeye mwenyewe kwa kinywa chake kwenye hotuba yake kakili kuwa ANAISHI KWA MATUMAINI!!!
 
Acha kupoteza watu maboya habari ya mjini kwa sasa ni katiba mpya usitoe watu kwenye mstari na habari zenu za kusadikika njaa itawamaliza nyie wachumia tumbo.
 
Hata Sauli alikuwa muuaji na mtesaji...................... alitubu akaitwa Paulo, mshika dini kuliko wale uliwahi kuwajua!
 
Mkuu Pasco,

Kama imefika hatua sasa CHADEMA wana mmendea Lowassa hiyo ina maana wana matumaini kuwa akisimama tu, Ikulu yao.

Nilikuwa nafanya mjadala na vijana fulani wa BAVICHA na baadhi ya Wakereketwa wa CHADEMA. Wengi wao wamekiri kuwa kama CHADEMA ikimkosa Lowassa, basi ni kheri CCM wamsimamishe awanie nafasi hiyo.

Kwa mujibu wa maelezo yao, ni wazi kuwa Lowassa kwa sasa ndio tumaini la Watanzania walio wengi. Na naamini katika mechanism yetu CCM kuwa atapitishwa.
Udalali kila kitu?. Kweli wa2 wamejipanga, mara makanisani, bodaboda na huu wa ss ni zaidi
 
Confirmed.

Nadhani hilo neno hapo juu sio geni kwako. Hivyo nina imani unajua vizuri matumizi ya neno hilo, na utaweza kulihusisha na hii habari.

Wana Ukumbi,

Katika hali ambayo imewaacha wengi midomo wazi na baadhi kubaki kukuna vichwa. Ni baada ya kugundua kuwa CHADEMA kwa sasa hali ni tete na inasemekana wamekosa kabisa mgombea atakae peperusha bendera ya chama kwa nafasi ya urais.

Lakini pia CHADEMA hao hao wameonelea sio vyema kuingia kwenye uchaguzi wakiwa hawana mtu anae kubalika na Watanzania wengi. Hivyo imewalazimu watazame vyama jirani vina nini kama ilivyo desturi kwao.

Sasa hapa kwenye nini CHADEMA wamepata kutoka vyama jirani ndio penye maajabu. Sikuwahi kutarajia CHADEMA itaweza kuibuka na jina la Lowassa kama tunu kwao kwenye kuelekea uchaguzi.

Ina maana huyu Lowassa sio yule aliyeitwa fisadi!?

Huyu Lowassa leo amebadilika nini hadi agombaniwe na vyama kugombea katika nafasi ya urais?

Au ni ukweli kwamba Lowassa alisingiziwa kuhusu ile tuhuma na sio kweli kuwa ni fisadi.

Je, kama Lowassa ni fisadi, kwanini Watanzania wawe nae bega kwa bega kwenye movement zake za kuwania urais?

Kweli maneno yametimia, "JIWE LILILO KATALIWA, LEO LIMEKUWA JIWE KUU LA PEMBENI".

Lowassa ni Rais wetu ajae.
 
CHADEMA kwa sasa hali ni tete na inasemekana wamekosa kabisa mgombea atakae peperusha bendera ya chama kwa nafasi ya urais.

Lakini pia CHADEMA hao hao wameonelea sio vyema kuingia kwenye uchaguzi wakiwa hawana mtu anae kubalika na Watanzania wengi. Hivyo imewalazimu watazame vyama jirani vina nini kama ilivyo desturi kwao.

Sasa hapa kwenye nini CHADEMA wamepata kutoka vyama jirani ndio penye maajabu. Sikuwahi kutarajia CHADEMA itaweza kuibuka na jina la Lowassa kama tunu kwao kwenye kuelekea uchaguzi.

Ina maana huyu Lowassa sio yule aliyeitwa fisadi!?

Huyu Lowassa leo amebadilika nini hadi agombaniwe na vyama kugombea katika nafasi ya urais?

Au ni ukweli kwamba Lowassa alisingiziwa kuhusu ile tuhuma na sio kweli kuwa ni fisadi.
.
Mzizunguke mbuyu cha msingi nyie kateni jina lake pale dodoma ili muone mtifuano zaidi.
 
Back
Top Bottom