OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,245
- 103,947
Subirini maamuzi ya kamati kuu ya Chadema leo muone jinsi kidume Lowassa kitakavyopeta!
Raisi Magufuli akimjibu Lowasa baada ya kushauri awapeleke mahakamani Mashekhe wa "Uamsho"
"Bahati mbaya wanaokufa ni wa chama kimoja tu fulani,unasimama hadharani unasema hawa watu waachiwe. Nataka polisi mfanye kazi yenu,Hawa wanaoropoka ropoka wakaisaidie polisi katka upelelezi.......Wasiogope cha sura.......WASIOGOPE CHA MWENDO WA MTU,awe na mwendo wa spidi,wa kukimbia, wa polepole...ataeleza vizuri atakaokuwa kule rokapu"
Kichaa

Hivi watakuanacho tu mpaka leo??Acheni kulialia...kama anewaudhi mrudishieni Chake muachane
Waache wapatane.
Raisi Magufuli akimjibu Lowasa baada ya kushauri awapeleke mahakamani Mashekhe wa "Uamsho"
"Bahati mbaya wanaokufa ni wa chama kimoja tu fulani,unasimama hadharani unasema hawa watu waachiwe. Nataka polisi mfanye kazi yenu,Hawa wanaoropoka ropoka wakaisaidie polisi katka upelelezi.......Wasiogope cha sura.......WASIOGOPE CHA MWENDO WA MTU,awe na mwendo wa spidi,wa kukimbia, wa polepole...ataeleza vizuri atakaokuwa kule rokapu"
Tukiongelea siasa za kiharakati, Lowasa yupo totally wrong lakini tukija kwenye Political science Lowasa has done the real great move.
Mtu anayeweza kutoa speech za kipuuzi na za hatari kwa nchi unapaswa kutafuta namna nzuri ya kum contain. Kwa wanao mpinga Lowasa watuambie move walizozifanya wao.
Lowasa namuelewa sana aina ya siasa azifanyazo, ninachopinga ni CHADEMA kumkaribisha Lowasa moja kwa moja na kumpa ugombea wa nafasi ya urais. Taasisi yeyote kubwa yenye wanachama, mizizi, mikakati, historia, watu makini, na uongozi thabiti isingeweza kufanya uhanithi wa aina ile.
Ukidume wake ulishathibitika kitambo.Subirini maamuzi ya kamati kuu ya Chadema leo muone jinsi kidume Lowassa kitakavyopeta!
Kwa akili zako na jinsi ulivyo ulitarajia kabisa kwamba utasoma comment yangu na kuielewa?? You cant be serious!!Mbona hatkuelewi kwa kiswahili lowasa kakosea kwa english lowasa done real great move..
Hawa ndio wanaokaa bar.
Wakilewa pombe ndio wanasoma
Walitakiwa wasome kwanza halaf ndio walewe