Lowasa kulihutubia taifa leo kupitia Azam tv

Atajisafisha kwa sabuni gani????? Eti yeye hajahusika na Richmond!!! kwanini aliachia ngazi??? Hovyoooooo eti raisi labda wa FIFA
 
Halafu mkiambiwa mmeanza kampeni mapema kabla ya muda sijui mtasemaje. Ngoja NEC imkate sijui mtalia na nani...
Anahutubuia taifa kama nani? Mgombea au? Msiseme sikusema.

Makufuli alikuwa anazunguka mikoani kuuza njugu ama?
Stupid talking non sense.
 
Muulize mwakyembe yale aliyoacha ili serikali isianguke
 
tupo pamja naye, hapa, anaendelea kutwanga ssiem kwenye kinu cha moto.
 
Makufuli alikuwa anazunguka mikoani kuuza njugu ama?
Stupid talking non sense.

Nadhani tuwe na hekima na umakini katika kila hatua tunayoifanya. Nimeambiwa nalia lia na hapa umenikashifu. Wengine wanasema Lowassa anajua siasa za Tanzania. Je, kujua siasa hizo kumemsaidiaje hadi akakatwa jina Dodoma? Tena plainly like that? Yani washauri kama nyiye ndio mnampoteza mzee wa watu. Nimeuliza anahutubia taifa kama nani? Unadhani wanaogopa kumkata hao NEC? Mtafanya nini akikatwa? Lets be objective, tuweke ushabiki pembeni. Kwanza hunijui sikujui na hujui nam support nani.
 
Hatuko hapa kujuana,hapa tunajadili hoja cheo au ukubwa wako hapa hautuhusu.
Magufuli katembezwa mikoa mingapi? kwanini hao Nec wasimkate yeye?
Usitake kutia watu hofu humu.
 
Kwani huko NEC ya dodoma kuna siasa? huko si kuna ESCROW na DOWANS na EPA?
Si ni kweli eti?
 
Halafu mkiambiwa mmeanza kampeni mapema kabla ya muda sijui mtasemaje. Ngoja NEC imkate sijui mtalia na nani...
Anahutubuia taifa kama nani? Mgombea au? Msiseme sikusema.

acha woga
 
Hatuko hapa kujuana,hapa tunajadili hoja cheo au ukubwa wako hapa hautuhusu.
Magufuli katembezwa mikoa mingapi? kwanini hao Nec wasimkate yeye?
Usitake kutia watu hofu humu.

Sijui kwanini hamnielewi. Cheo sina wala ukubwa kwa hiyo siyo issue.
Sasaaaa, niulize swali, hizi siasa za third world bado unaweza kuifananisha nafasi ya mgombea wa ruling party na wa opposition katika electoral body? Unadhani wana nafasi sawa, yani kabisa? Kisheria yes, ila kiuhalisia? Unafahamu position za Msajili wa Vyama kwa vyama mbalimbali ambao wamefanya kosa linalofanana? Au hufuatiliagi siasa?
Magufuli anazunguka mikoani? Yes kila mtu anajua. Ila unadhani Lowassa akizunguka mikoani sasa hivi jambo hilo litasemwa ni sawa?
Okay, tuangalie wizi wa kura kwa mfano. Nani kaiba kura? Wa chama gani? Eeeh? Hivi Ukawa wakiiba kura itachukuliwa poa kwa mfano?
Siasa unazielewa au unatania?
Ukiwa mtoto wa kambo unatakiwa kuishije kwenye nyumba ya watu? Ukikosa wewe mtoto wa kambo na mtoto halali, kosa moja ndiyo utaelewa kuwa wewe umekaribishwa.
The bottom line here is, behave, take care and watch your step.
Yangu maoni tu. Kama mnaona mnajua siasa sana endeleeni kuvunja kanuni.
 
Unalilia nini? kwani wewe umejipangaje?
Waambie wamkate ndio hulete hoja zako hizo tuone.
 
Hivi mbona huleti hoja unatoa tu sweeping statements?
Hebu niambie, mgombea yeyote anaruhusiwa kusema nini na kwa wakati gani kabla ya kampeni? Sheria inasemaje? Repercussion za kuanza kampeni mapema ni zipi? Tuanzie hapo kwanza ndiyo tuje kama tahadhari yangu ni valid au sio valid. Kwanini ujitie kitanzi bila sababu? Nasubiri jibu lako tuthibitishe uoga wangu.
 
Back
Top Bottom