Lowasa kulihutubia taifa leo kupitia Azam tv

Lowasa kulihutubia taifa leo kupitia Azam tv

Tafadhali sana mwenye habari ya muda muafaka atupie hapa uwanjani ili tumuone rais wetu mpendwa
 
taarifa bomu kama hizi bure kabisa.....muda huweki..ndio nini?

Ametoa taarifa pale biafra kwa hiyo ilikuwa ngumu kumfuata pale na kumuuliza itakuwa saa ngapi ila usijali tutapata info kuhusu time
 
Halafu mkiambiwa mmeanza kampeni mapema kabla ya muda sijui mtasemaje. Ngoja NEC imkate sijui mtalia na nani...
Anahutubuia taifa kama nani? Mgombea au? Msiseme sikusema.
 
Mletamada kamilisha taarifa kwa kutufahamisha muda upi President speak with his Nation .
 
Halafu mkiambiwa mmeanza kampeni mapema kabla ya muda sijui mtasemaje. Ngoja NEC imkate sijui mtalia na nani...
Anahutubuia taifa kama nani? Mgombea au? Msiseme sikusema.

Endelea kulia lia tu
 
Kwa mujibu wa taarifa aliyotoa Katibu mkuu msaidizi Zanzibar Salum Mwalimu Mheshimiwa Lowasa atalihutubia taifa kupitia kituo cha Azam tv.

Weka time tuwahi. Leo nitaacha gari ofisini nichukue bodaboda niwahi.
 
Halafu mkiambiwa mmeanza kampeni mapema kabla ya muda sijui mtasemaje. Ngoja NEC imkate sijui mtalia na nani...
Anahutubuia taifa kama nani? Mgombea au? Msiseme sikusema.

Usifikiri Lowasa ni mgeni kwenye siasa za Tanzania anajua anachokifanya
 
Kwani yule aliyekuwa anahutubia live TBC Jana Kule Mtwara Akikabidhi kivuko halikuwa taifa analohutubia?
 
Angeacha tu mpaka wakati ukifika. Ataharibu!
 
Itv wataujiunga na azam live hata mchana wakati rais lowassa anachukuwa form itv waliunganisha azam live
 
Viongozi waliotoka ccm wanatambulishwa
 
Back
Top Bottom