Lowasa ana nguvu kuliko ccm

andrews

JF-Expert Member
Mar 28, 2012
1,679
152
ninasema bila lowasa,chenge na rostam ccm itabomoka tu nasema haya sababu ndio waliomuweka kikwete kwa pesa zao na mtandao wao na ndio waliofanya ccm ishinde 2005 2010 anayebisha aseme ndani ya ccm kwa kupiga kura za kawaida ccm itapat 30%ya idadi yoyote ya wapiga kura tanzania hii ajitokeze kiongozi yetote aseme hadharani kuwa ccm itapiku chadema 2015 huwezi kuwaita mafisadi watu 3 ndani ya chama chote wakati wote wameingizwa kwa pesa za hao watatu.sokoine alifanikiwa kuwakamata mafisadi wa kipindi kile sababu alikamat mtandao wote leo hii kikwete hatafanikiwa sababu baraza lote la mawaziri ni matokeo ya pesa chafu sasa mjiandae kumeguka na 2015 mtaelewa maana hii hongera lowasa kwa ujasiri
 
Inawezekana ni kutokana na siasa zinazofanana na za kishirikina na miujiza hapa Tanzania, watu hawaitaki ccm kwa mshangao mkubwa inashinda kilaini, Lowasa fisadi kila mtu anasema but haishangazi kusikia miongoni mwa wanao msema vibaya watasema atagombea urais na aweza shinda, Maajabu kwelikweli ktk siasa
 
Nguvu ya Umma haitaki kujua haya!
Msema kweli ni hapa 2015.
Hapatakuwepo cha Rostam,Chenge wala Lowassa na pesa zake.
Labda baada ya ukombozi akale pesa zake huko anakojua maana hatakuwa na bahati tena.

mafisadi hawakubaliki kamwe!
 
ninasema bila lowasa,chenge na rostam ccm itabomoka tu nasema haya sababu ndio waliomuweka kikwete kwa pesa zao na mtandao wao na ndio waliofanya ccm ishinde 2005 2010 anayebisha aseme ndani ya ccm kwa kupiga kura za kawaida ccm itapat 30%ya idadi yoyote ya wapiga kura tanzania hii ajitokeze kiongozi yetote aseme hadharani kuwa ccm itapiku chadema 2015 huwezi kuwaita mafisadi watu 3 ndani ya chama chote wakati wote wameingizwa kwa pesa za hao watatu.sokoine alifanikiwa kuwakamata mafisadi wa kipindi kile sababu alikamat mtandao wote leo hii kikwete hatafanikiwa sababu baraza lote la mawaziri ni matokeo ya pesa chafu sasa mjiandae kumeguka na 2015 mtaelewa maana hii hongera lowasa kwa ujasiri

Hawala wa Slaa at work
 
ni waziri gani au mbunge wa ccm ambaye hakupita bila ya pesa za kifisadi?:rant:
 
ninasema bila lowasa,chenge na rostam ccm itabomoka tu nasema haya sababu ndio waliomuweka kikwete kwa pesa zao na mtandao wao na ndio waliofanya ccm ishinde 2005 2010 anayebisha aseme ndani ya ccm kwa kupiga kura za kawaida ccm itapat 30%ya idadi yoyote ya wapiga kura tanzania hii ajitokeze kiongozi yetote aseme hadharani kuwa ccm itapiku chadema 2015 huwezi kuwaita mafisadi watu 3 ndani ya chama chote wakati wote wameingizwa kwa pesa za hao watatu.sokoine alifanikiwa kuwakamata mafisadi wa kipindi kile sababu alikamat mtandao wote leo hii kikwete hatafanikiwa sababu baraza lote la mawaziri ni matokeo ya pesa chafu sasa mjiandae kumeguka na 2015 mtaelewa maana hii hongera lowasa kwa ujasiri

MKUU andrews,ushahidi wa kuegemea uingizwaji wa jk tena mwaka 2005 hautoshi kuelezea superiority ya Lowassa!
Kumbuka minyukano mingi imeendelea baada ya hapo,na upembuzi makini unahitajika ku conclude kwamba El yuko juu.
 
Sasa hivi Lowassa anaanzisha jeshi lake kwa kupitia mgongo wa JKT....go go mzee wa mvua za kutengeneza
 
ukinihitaji binafsi nitakupa simu no yangu tujadili,lakini Lowasa katolewa kafara na kiukweli hakuna hata mmoja ndani ya ccm (viongozi)wakusema lowasa ni fisadi na yeye hayuko ndani ya ufisadi ni uongo cha msingi ccm ingekuwa makini ingepanguwa wazee wote ndani ya chama ambao hawana mvuto na mafisadi wangetolewa ili kunusuru chama kwa mpango wake wa kusema lowasa,chenge ndio mafisadi ni uongo na hili litakiangamiza chama lowasa ni kiongozi bora na shupavu
 
Andrews, bora umesema wewe, waambie na wasikie, tukisema sisi tutaambiwa tumeshikishwa kidogo dogo!.

Natoa wito kwa wana jf wote wenye mapenzi mema na nchi hii, tuunganishe nguvu kwa umoja wetu, tuombe EL asimamishwe kuwa mgombea wa CCM mwaka 2015 ili rais atoke Kaskazini na Tanzania tupate ukombozi wa pili na wa kweli kwa taifa letu!.
 
Hawala wa Slaa at work
hivi Uhawala/Uchumba huwa hauna kikomo?? maana nimeanza kusikia siku nyingi sana habari ya eti Mchumba wa Slaa huku Sheria ya ndoa ikisema kuwa Mtu ukiishi na mwenza wako kwa miezi 6 mfululizo hiyo no Implied Marriage - Mpeni hadhi yake bwana lets call her Mrs Slaa-the next 1st lady
 
imedhuhurika kikwete ni dhaifu sababu hawezi kutatua migogoro yoyote nchi haiongozwi kwa kuchekacheka
 
Andrews, bora umesema wewe, waambie na wasikie, tukisema sisi tutaambiwa tumeshikishwa kidogo dogo!.

Natoa wito kwa wana jf wote wenye mapenzi mema na nchi hii, tuunganishe nguvu kwa umoja wetu, tuombe EL asimamishwe kuwa mgombea wa CCM mwaka 2015 ili rais atoke Kaskazini na Tanzania tupate ukombozi wa pili na wa kweli kwa taifa letu!.

mkuu mbona unaleta dhana za ukanda?...hivi wasukuma,wanyakyusa au wavisiwani wakileta mawazo kama yako nchi itatawalika kweli?
 
Back
Top Bottom