Lowasa ana nguvu kuliko ccm

km uongo,wawavue gamba bac tuone!....015 ikijiri,ndo mtajua km ccm kwishney,coz it seems up to now wengi hawaamini!mfano,Nape
 
Mbona arumeru mashariki alianguka yeye na mkwe wake ,kumbe bado?kilikuwa kipimo kizuri sana kwake!ngoja apigwe kishindo kikubwa zaidi 2015
 
Inawezekana ni kutokana na siasa zinazofanana na za kishirikina na miujiza hapa Tanzania, watu hawaitaki ccm kwa mshangao mkubwa inashinda kilaini, Lowasa fisadi kila mtu anasema but haishangazi kusikia miongoni mwa wanao msema vibaya watasema atagombea urais na aweza shinda, Maajabu kwelikweli ktk siasa

Lowasa ndie ataechaguliwa gombea urais bisha usibishe sisis tuliokaa jikoni ndio tunaejua na tunajua wakuu wa wilaya ambao wamechaguliwa na ccm ndio waliopewa hata hilo jukum la kuhakikisha Lowasa anakuja kupita. huoni tu kwa mtazamo wa kawaida jinsi anavojiamini, umesahau alisema washindani wangu kamwe hamta nishinda ninauhakika ntawashinda

  • :mod:
 
Back
Top Bottom