Tumeona data zinamwagwa hapa kuhusiana na mkutano wa CCM kule Dodoma .Katika mkutano wao huo baadhi ya watu walisimama wakaongea na mmojawapo ni ndugu Lowasa .Lowasa alitamka jambo bayana juu ya nani ana own Richmond nakusema kwa nini alijiondoa uwaziri mkuu .Je nyie wanyetishaji mbona hamsemi jambo na alimwambia nani hadharani bali tunapokea habari zingine ? Haya naondoka nimesha anzisha wenye data wazimwage hapa .Lowasa alitamka nini ?
Mbona wewe unaogopa kusema? Si useme aliongea nini? Kwani ni lazima akina fulani tu kuleta data?
Afadhali umeuliza.... Ameongea kama mtoto wa nursery na mambo ya niseme nisiseme??????????? Sometime inaboa kubip mambo mazito
Sasa wandishi nyie mnatuletea habari kibao lakini haya machache ya Lowasa hamyasemi kwa nini ?
Nitasimama pale pale maana ndivyo ninavyo pasha watu habari .Narudia kuuliza je lile neno ni lipi alilosema kwa kusema kwamba Mimi si Fisadi na wewe Mwenyekiti unajua kwamba mimi ni safi ila nili............................................ili kuinusuru CCM na ................................................
Sasa wandishi nyie mnatuletea habari kibao lakini haya machache ya Lowasa hamyasemi kwa nini ?
lunyungu acha utoto,kama una cha kusema sema na kama huna just shut up..na hapa game 6 ndio inataka kuanza hope ma homie KG leo leo ataibuka kidedea,haya time for Heineken!
Ni jambo nzuri tukijua ndugu Lunyungu,kwa kuwa watoa habari wameleta habari ktk mfumo wa point of interest ama wamesahau kipande hicho au ndio wako baised,basi tufunulie yalioachwa.
Natanguliza shukrani zangu.
no HUENDA ANATAKA KUTHIBITISHA HABARI ALIZOZIPATA KUZISIKIA KAMA ZIKO SAHIHI
SASA KAMA YUKO ANAEJUA NA AWEKE NNAAMINI NA YEYE ATATWAMBI AU ANATEGA KITENDAWILI SI MNAKUMBUKA ENZI ZA KITOTO KITENDAWILI TEGA HALAFU TUKIKOSA TUMPE MJI AU VIPI WAUNGWANA?
ahhh ! basi bana ! ushanoboa ! kila mtu garnett, garnett ! hivi ana nini huyu ?lol/////////////lol !LOL
...quater ya kwanza kwisha,naona lakers leo kiama maana hawana zile 20 points ahead za first Q.