Low self esteem inawafanya wanaume wengi ku date wanawake wabaya wa sura

Uzuri wa mtu upo machoni mwa mtu, na hakuna mtu mbaya. Na ndio maanaa huyo unaemuona kwako mbaya kuna mwenzio kafa kaoza hapo. Huwezi lazimisha kilicho kizuri kwako basi kiwe kizuri kwa kila mtu. HAIWEZEKANI. Pia uzuri hupimwa na mambo mengi siyo sura na shape tu
Safi hiyo hakika upo sahihi.
 
Hakuna kitu nlishawah kasirika kama hicho nishachill nae sana maseacliff huko nishatoboka sana ila nakuja kupiga mzigo daaah tofauti na matarajio ila kuna kitoto nlipataga sura ya kawaida chura wastani mashine v12 katamu balaaa, so sikuiz me wanawake huwa sion utofauti wao sana mpaka nimle yan physical appearance hainishtui , na ndio hapo sion utofauti wao na hata aweje hanishtui aisee, ni ukweli lakin mchungu..
Hahaah mtoto mtam kama Lexus 🤣🤣🤣
 
Babu yangu aliniambia "Mjukuu wangu usioe msichana mrembo Sana maana Ni sawa na kuwa na shamba la miwa karibu na shule".

Siku mwelewa Ila baadae nilimwelewa Sana Sana after hard lessons. Ukweli wanaume Hawaii tu sura wanao mama wa familia, anayeweza kuishi kwa Amani na wanafamilia na sio mlalamishi, mfuga kucha, mvivu na asiye na staha.

Pia wanawake wengi wazuri kwa sura Ni wavivu, wazembe na wanaojisikia. Kwenye mapenzi ndio wabaya zaidi maana wanafikiri kuwa wazuri kisura na maumbile yatosha.

Mwisho uwezo wao kiakili wengi wanauwezo mdogo.

Nimalizie kwa kusema uzuri wa mtu unapimwa na vitu bingo na kila mmoja Kuna vitu anavipa kipaumbele. Hivyo mzuri kwahuyu aweza kuwa mbaya kwa mwingine.
 
Kwahiyo wewe mtoa mada unataka kusema kwamba kila mwanaume ana haki ya kuwa na mwanamke mzuri ila wanawake wabaya ndiyo hawatakiwi kuwa na wanaume si ndiyo?
 
Wanaume wengi wanao date wanawake wenye sura na muonekano mbaya wanakuwa na low self esteem. Wanakuwa hawajiamini wanahisi kama muda wowote akitokea mtu anayemzidi pesa au power anaweza kuachwa au wanakuwa wanahisi wanawake wazuri huwa na wanaume wengi kumbe hata sio kweli hii yote ni kukosa kujiamini.

Wakati mwingine wanahisi ha deserve kuwa na mwanamke mzuri cuz sio type yake yeye type yake ni wale wabaya tu Na vile kama akiwa hana pesa ndio anakuwa hawajiamini kabisa anakuwa anaishi kama mwizi ameona police.

Kuna wakati hata wakipendwa kutoka moyoni hawa amini sasa mtu unaishi vipi na mtu usiyekuamini unaamua umuache kweli akatafute asiyejiamini mwenzake hapa ndio anaenda kupata mwanamke hata ajulikani ni mwanamke au vipi kabayaaaa kapo kapo tu hakijulikani ukiwauliza wanasema wanawake wabaya wana tabia nzuri sasa kajitu kenyewe kabaya lazima awe na tabia nzuri kwa sababu hajiamini tena anaona wewe amekupata kwa bahati atakuwa a najiweka chini tu kwa kila kitu ili asikupoteze.

Tena afadhali wanaume wazee huwa wanajiamini sana kuliko vijana sijui kwanini 
Wanaume kazi yetu ni kutoa huduma tu ubaya uzuri atuangalii ,ata chizi tuna mpa huduma kwani tunatembea na bango lenye picha yake kiasi cha kuogopa watu kujua .
 
Back
Top Bottom