data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,236
- 22,835
Ha ha ha haaAmeachwa halafu mwanaume kachukua mwanamke mbaya toka April hadi leo anarusha madongo
Wanaume wanahangaika sana
Wanaume sijui wako vipi mtu umeachwa basi utafute girl mzuri kumshinda x wako hata akimuona aanze kukuonea wivu. Kama huyu kaka mpaka anatia huruma nimemuacha miezi mitatu bado amepata girlfriend mpya, kajitu chenyewe kabaya hata hakistui sijui ame muokotea wapi masikini ya Mungu 😂😂 halafu kuna...www.jamiiforums.com