Low blood pressure

Mavindozii

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
2,111
2,759
Hello GT, naombeni msaada wenu, nimepima blood pressure Iko 71/51, na nasikia wenge la ajabu kama nataka kudondoka vile, mpaka saa ingine sioni, naombeni mwenye kujua dawa ya kuipandisha, naomba msaada wenu waungwana wangu.
 
Hello GT, naombani msaada wenu , nimepima blood pressure Iko 71/51 ,na nasikia wenge la ajabu kama nataka kudondoka vile, mpaka saa ingine sioni , naombeni mwenye kujua dawa ya kuipandisha , naomba msaada wenu waungwana wangu ,
Kama upo nyumbn mpgie jamaa yako mwenye gari au tax akupeleke ktuo cha afya kwanza waipandshe kwa dripi

Lakn pia agiza coka/Pepsi
Pole san mkuu
 
First aid ni maji ya kunywa, ukiwa hospitali au clinic wanakuwekea drip au jina lingine IV.
 
Yaan hapo mkuu pressure ya juu na chin zote ni tatzo ,,
Punguza mawazo

Agiza energy kunywa kwa utaratbu sana , make sure unafk hospital
 
Du pole sana mkuu. Ngoja waganga waje wakushauri.
 
Kama upo nyumbn mpgie jamaa yako mwenye gari au tax akupeleke ktuo cha afya kwanza waipandshe kwa dripi

Lakn pia agiza coka/Pepsi
Pole san mkuu
Asante sana Mr, ndio najiandaa , kwenda hapo dispensary ,
Barikiwa sana , hamna msaada mdogo mkuu
 
Hello GT, naombeni msaada wenu, nimepima blood pressure Iko 71/51, na nasikia wenge la ajabu kama nataka kudondoka vile, mpaka saa ingine sioni, naombeni mwenye kujua dawa ya kuipandisha, naomba msaada wenu waungwana wangu.
chukuwa kijiko 1 kidogo koroga katika glasi ya maji kunywa itapanda presha yako au kunywa kahawa chungu presha itapanda. Ukitaka dawa ya kumliza tatizo lako nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.
 
Yaan pressure ni tatizo sana...unaambiwa punguza mawazo...ukirelax ukaamua kuacha kabisa mawazo unanenepa😏
 
Kunywa maji ya kutosha, na uwe unafanya mazoezi marakwa mara, yatasaidia kuweka mzunguko wa damu vizuri
 
chukuwa kijiko 1 kidogo koroga katika glasi ya maji kunywa itapanda presha yako au kunywa kahawa chungu presha itapanda. Ukitaka dawa ya kumliza tatizo lako nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako uguw apole.
Nini sasa mkuu nikoroge boss
 
Hello GT, naombeni msaada wenu, nimepima blood pressure Iko 71/51, na nasikia wenge la ajabu kama nataka kudondoka vile, mpaka saa ingine sioni, naombeni mwenye kujua dawa ya kuipandisha, naomba msaada wenu waungwana wangu.

1: Jibu la presha kuwa chini, si namba ya vipimo vya presha tu. Bali inajumuisha na mapigo yako ya moyo(kawaida hupanda kufidia upungufu wa presha), ukubwa wa mwili na aina ya kazi hasa mazoezi.

Kuna watu mfano: wanaridha, kuwa na presha ya kiasi hiki kwao ni sawa.

3: Ni vyema kufanyiwa tathmini ya kiafya kujua kwa nini unajisikia hivyo:
A: Presha
1: Kwa nini? Ili lisijirudie.
Njia rahisi: maji ya uvuguvu au kawaida nusu lita, weka nusu kijiko cha chumvi kunywa na ufike kituo cha afya.

2: Usitumie kahawa kupandisha presha. Kwani wakati unafanya hivyo, unaweza kuzidisha kasi ya mapigo ya moyo (tachycardia), ambayo tayari yako juu na kuufanya moyo kukosa nafasi ya kukusanya damu na kusukuma au kwa wale wenye matatizo ya moyo kama valves na mapigo ya moyo arrhythmias. Hivyo, kufanya dalili za mwanzo kuwa mbaya zaidi au kufikia kuzimia.

B: Tatizo tofauti
Kama ukihangaika na presha peke yake basi chanzo cha tatizo kitaendelea kuleta shida au kukuta kesho presha yako ni ileile ya jana richa ya jitihada zilizofanyika.

NB: Tuwape nafasi wataalamu wetu.
 
Aisee
Kama upo nyumbn mpgie jamaa yako mwenye gari au tax akupeleke ktuo cha afya kwanza waipandshe kwa dripi

Lakn pia agiza coka/Pepsi
Pole san mkuu

First aid ni maji ya kunywa, ukiwa hospitali au clinic wanakuwekea drip au jina lingine IV.

Yaan hapo mkuu pressure ya juu na chin zote ni tatzo ,,
Punguza mawazo

Agiza energy kunywa kwa utaratbu sana , make sure unafk hospital
Wahi Hospital,
Wadau wamekushauri vizuri.
 
Hello GT, naombeni msaada wenu, nimepima blood pressure Iko 71/51, na nasikia wenge la ajabu kama nataka kudondoka vile, mpaka saa ingine sioni, naombeni mwenye kujua dawa ya kuipandisha, naomba msaada wenu waungwana wangu.
Chukua chumvi kidogo korogea kwenye maji kunywa
 
Back
Top Bottom