🤣🤣🤣🤣 Nifungue appAna kipaji asipuzwe atafika mbali sana
Wee uduguuu Usiku ulikula kweli????😂😂😂😂😂 nilipewa screenshot yako
Ya uzi uliofungwa ulicomment etii 🤣🤣🤣🤣
Haya km ulinukuu.!!
Kwahiyo waasi ndo walimponda hivyo mume wao?? 🤣🤣🤣
Kwani Hutaki afu tatu kam za mange🤣🤣🤣🤣 Nifungue app
Ww si tuko wote hapa, swali gani hilo 🤣🤣🤣Wee uduguuu Usiku ulikula kweli????
Nazitaka kaka 🤣🤣🤣🤣Signed off.
Kwani Hutaki afu tatu kam za mange
Weeee!! Nani kakupangia?? 😂😂😂Tunataka tupangiane cha kukoment huu uzi kwema😁😁😁
Anzisha chap umalizie lile pagaleNazitaka kaka 🤣🤣🤣🤣
Acha tyuu!! Pagale linaninyima usingizi lile 🤣🤣🤣🤣Anzisha chap umalizie lile pagale
Mimina kahawa tunywe tusinzie mdogoangu 😂😂😂😂😂Hatulaliiii![]()
Babe toka huu Uzi ufunguliwe, mbona ume chachuka hivyo😆Halafu sisi wengine nyeusi kusema ni nyeupe hatuwezi na nyeupe kusema ni nyeusi tumeshindwa kila mtu aheshimu comment ya mwenzie vinginevyo mta Dislike mpaka mjambe😁😁😁😁
Hujaamua tu, changamkia 30k ziko nyingi humu. Usiwe mshamba kama cocastic alipishana nazo m. CityAcha tyuu!! Pagale linaninyima usingizi lile 🤣🤣🤣🤣
😁😁😁Weeee!! Nani kakupangia?? 😂😂😂
😁😁😁Babe toka huu Uzi ufunguliwe, mbona ume chachuka hivyo😆
Cc Chizi MaarifaNaona unataka kuchota mafuta kwenye gari iliyoanguka.... yaani unachochea moto kadri uwezavyo![]()
Suit urself Madam, maana kwa kasi uliyonayo humu unadeserve kushibaNtakuchapa
Nipe kikombe kingine weka asali