Loving you Mahondaw

Loving you Mahondaw

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivii hamuwezii kuzungumza bila kunigombanishaaa? Hebuu muacheniii shemelaaa akeee.
Watu na mapenzi yao mjiniii, wanatambaaa tyuuh, afu sio shida zao sasa.
Unayakana maneno yako 🤣🤣🤣🤣
Tena ulisema alishindwa kushuka ndani ya gari haonekani 🤣🤣🤣 bishaaa
 
Unayakana maneno yako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tena ulisema alishindwa kushuka ndani ya gari haonekani [emoji1787][emoji1787][emoji1787] bishaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilisema mie au team pinzani walioonana nae hapo masaki, usinitafutie maneno uduguuuu.
Mie ninukuuu maneno ya wenyewe wahusika, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niliyajua hayooo??
 
😂😂😂😂😂 nilipewa screenshot yako
Ya uzi uliofungwa ulicomment etii 🤣🤣🤣🤣
Haya km ulinukuu.!!
Kwahiyo waasi ndo walimponda hivyo mume wao?? 🤣🤣🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom