Loving you Mahondaw

Loving you Mahondaw

Smart911 hapa Nimecheka tu sitii neno 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!

Mimi leo nataka tu wakongwe wanielekeze story za Ukimwi/Gono zilipoanzia humu naona nabebeshwa kitu kisichonihusu
Si wao ndiyo waliambukizana! Wewe unaingiaje tena. Kwa heri naingia uvunguni mwa kabati
 
Mtoto wa Arusha Supermart asikubabaishe tuna data zake. Wewe muombe Mahondaw anipe ruhusa nimwage kila kitu
Hawezi toa ruhusa. Hizi tunaongea sisi 3rd part Russia na USA wenyew wapo kimya 🤣🤣🤣🤣 ila silaha zinavushwa tuu .Vinginevyo ni soga tu Kama zilivyo za Mahondaw kwamba anamtoto kumbe ni story za Abunuasi
 
Bro i told you, soma comments tu mkubwa mwenzangu...

Nyuzi kama hizi huwa ni saka nyoka, watu wanamwaga mafuta ya taa kwenye mashimo, nyoka wanatoka pangoni wote...

Baada ya hapo kila nyoka anayeibuka toka shimoni anakutana na jambia la kichwa...
Mkuu,
Sie wazee wa kuhoji, tukikaa kimya havinogi. Some stories don't equate tusipohoji🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom