Mama mchungaji wewe kama mimiiii...ila Leo hapa siondokiii🤣Mi hapana sihusiki mwaya
Maana hata yanapotokea sikuwepo nilikuta Uzi usafutwa na comments zote,nilipewq story tu
Kwa hiyo anahisi ni utani🤣🤣🤣Ngoja siku tumwage mkeka wetu hapaKakuambia nani ni jokes, tunaingia front kuanzia sasa🤣
Raha ya mapenzi Mwanaume akuheshimishe mbele ya watu sio leo yuko na yule kesho kabanwa na upwiru karudi kwako 🐒😁😁😁Mi hapana sihusiki mwaya
Maana hata yanapotokea sikuwepo nilikuta Uzi usafutwa na comments zote,nilipewq story tu
SanaaUmaskini mbaya sana unadhalilisha mtu😁😁😁
Rafiki yangu D, mwacheni mtu apiganie anachoamini ni sahihi kwake, hata asipofsnikiwa kummiliki milele lkn atakuwa ameshinda.Ni kujikatia tamaa na kujizibia riziki kuwa na mtu ambae hakuthamin kihisia anakumanipulate na kukufanya mjinga ni bora uwe single
That's why I love yah 💓 💓, una Akili mnoo🤗🤗🤗Raha ya mapenzi Mwanaume akuheshimishe mbele ya watu sio leo yuko na yule kesho kabanwa na upwiru karudi kwako 🐒😁😁😁
Raha ya mapenzi Mwanaume akuheshimishe mbele ya watu sio leo yuko na yule kesho kabanwa na upwiru karudi kwako
Endeleea kuchezea nyuki kwa kidole😄🤣Umaskini mbaya sana unadhalilisha mtu😁😁😁
Rafiki yangu D, mwacheni mtu apiganie anachoamini ni sahihi kwake, hata asipofsnikiwa kummiliki milele lkn atakuwa ameshinda.
Maisha menyewe ya muda haha
Jana nimelia sana umenambia nina Kifafa😁😁🐒That's why I love yah 💓 💓, una Akili mnoo🤗🤗🤗
Sijambo mama some food twende tukapike jambo lishakuwa jambo hukuDadaangu mm
Hujambo lakin
Am so sorry, sito rudia khabity wangu🤗🤗Jana nimelia sana umenambia nina Kifafa😄😁
Haha kushauri sio tatizo.Ushauri tu yakiletwa public watu lazima watatoa maoni sio lazima ayafate afate moyo wake
Kwakweli hayo ndo mambo yetu haya niambie kutengene za peanut butter nzuri nifanyaje nilisaga karanga zikasagika zikawa kama unga hazijawa na rojo kama inavokuwa vileSijambo mama some food twende tukapike jambo lishakuwa jambo huku
Nipo binti yangu.Shimba ya Buyenze umeonekana huku🤣🤣🤣
Una hoja,usipuuzwee, uzingatiwe.Allah atujalie wanawake tuwe na uwezo wa kujitambua.
Mwanaume ukiachana nae na ukamchafua huwa anapanga kisasi. Atafanya chochote mrudiane ili wewe uliyetumika kumchafua utumike pia kumsafisha. Kama usipokuwa na akili utaona kilichomrudisha kwako ni mapenzi kumbe karudi kujishafisha dhidi ya uzushi ulizomzushia kipindi alikuacha.
Hamna mapenzi hapo, penzi likifa limekufa utalazimisha liendelee kuishi ila mambo hayawezi kuwa sawa kama ilivyokuwa awali. Huyu akimaliza kujisafisha juu ya kusambaza STDs kwa baadhi ya ladies humu ataondoka ikukuacha ukiwa hauna njia nyingine tena ya kumchafua.
Amefanikiwa kukufanya umeze matapishi yako.
Halafu hamna upendo kwenye kutukanana. Mwanaume akikutukana ni udhalilishaji na ni kwa sababu amekudharau. Na akirudi kukuambia anakupenda ni kwa sababu anataka aone kama una akili au bado ni mjinga. Usiruhusu dharau kwa kigezo kwamba ndio mapenzi yenyewe. Mtu anayekupenda akakulinda na kukuheshimu.