Loving you Mahondaw


bado tuna kusanya nguvua dada
maan zile quote za mahaba jana usiku zimetuumiza mnoooo
,,, ila coca na mke wa kantri wanaweza hizi kazi za uhamasishaji em watumie wao basi
 
No one understands you as I do Smart!

Mi Amor uuuuuu babe wanguuuu (Hii code mix sasa 😘🀠)

Tutagombanaaa tutatukananaaa mwisho wa sikuπŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’• nyieeee true love never die
Allah atujalie wanawake tuwe na uwezo wa kujitambua.

Mwanaume ukiachana nae na ukamchafua huwa anapanga kisasi. Atafanya chochote mrudiane ili wewe uliyetumika kumchafua utumike pia kumsafisha. Kama usipokuwa na akili utaona kilichomrudisha kwako ni mapenzi kumbe karudi kujishafisha dhidi ya uzushi ulizomzushia kipindi alikuacha.

Hamna mapenzi hapo, penzi likifa limekufa utalazimisha liendelee kuishi ila mambo hayawezi kuwa sawa kama ilivyokuwa awali. Huyu akimaliza kujisafisha juu ya kusambaza STDs kwa baadhi ya ladies humu ataondoka ikukuacha ukiwa hauna njia nyingine tena ya kumchafua.

Amefanikiwa kukufanya umeze matapishi yako.

Halafu hamna upendo kwenye kutukanana. Mwanaume akikutukana ni udhalilishaji na ni kwa sababu amekudharau. Na akirudi kukuambia anakupenda ni kwa sababu anataka aone kama una akili au bado ni mjinga. Usiruhusu dharau kwa kigezo kwamba ndio mapenzi yenyewe. Mtu anayekupenda akakulinda na kukuheshimu.
 
Umeanza ugomvi lini ma mtumishi
 
Mumeambiwa, mambo yao muwa achie wenyewee, kwani hamsikii tyuuh au? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Shemeeejii
 
Hii post ifanyiwe lamination.
Kwa leo hitaeleweka, lkn ipo siku hii post itakuwa rejea.
Wewe unatujua wanaume.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…