Loving you Mahondaw

Sikiliza humu kuna wanaume manipulator wanacheza na hisia zako wanakufanya ujihisi speacial kumbe wala you are not the one mama,unakuta mtu ameoa Halaf anakufanya ujihisi wewe ndio mkewe Nawe unaingia kingi lakin mwenzio anajua anachojifanya anakuweka weka akutumie kwenye michezo yake ,hapo unapoteza muda na kujizibia mtu sahihi kwako atakaekupenda kwa moyo mmoja. Na hii ni wanawake wengi tu wanapitia sasa unakuta labda hujapata mtu sahihi unakuwa unajiambia labda atabadilika lakin wapi unaogopa kuwa mpweke wakati ungekuwa mpweke akajitokeza yule sahihi wako ,unakuta kuna mtu anakupenda kwa dhati ila akiona uko na mwingine anakata tamaa,ni bora ubaki single kuliko kuwa na mtu ambae sio sahihi kwako
Pia hao wanaume manipulator ni wana matatizo ya akili pia huwa hawapo sawa kiafya ya akili
 
sasa uduguu ntafanyaje mie? Maana niliambiwa yeye ni mkubwa na anajua nn anafanya, wapendanao wakigombana, wengine mshike jembe mkalimeee.

Ndo nimejua hivi karibunii maana yake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…