Loving you Mahondaw

Oya acha mazoea ya kichoko Basi, mbona Mna penda Kiki za kingese Sana.
👉Mbona mna force mambo aisee, lini Nisha kutana nae???.

Sitaki mazoea ya ki mbwa, nitakuja ongea kitu muumie bogus kabisa.
Kila Saa Mimi, kwani Hakuna jf member wengine mpaka daily mimi tu?????

Sitakiiiiiii, na sihitajiiii ujinga wako, jf mi shabiki wa Nuzulati, Sasa Huyo ndugu yako was kazi gani!!!
 
Hahahaha...
Achana na hayo mambo, ningekua ni mtu wa kupiga au kupigana, ningekudunda siku ile...
Nina neno moja, wewe tayari ushangea maneno kama yote...

Baada ya hapo...
 
Asante mkuu.

#Ubuyu hauna chama.
 
Kaka mambo [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Haya kuanzia leo nimeacha utani wa kisengee nasintokusumbua tena na nimefuta mazoea ya kibogaz nitakusahau kuwa na mtani humu kiki kwio unausupastaa upi ?? Wala hujulikani kwanza nimie ndio ninakutaniaga wadada wanakukimbiaga kazi kujitag na kuwatag wao kimya
 
Nilitaka kuijibu hiyo comment ila nikajisemea ngoja mhusika asome 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…