Winnone
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 1,521
- 4,146
Shemeji yako yule ooh!! Yule hakuwa vile mchugga yule, sema kapenda mzaramo ndio hivyo nisipokuwepo anatoa summary sio shida zake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hahahaa nilipewa woningi mapema kabisa dyadya[emoji23][emoji23] alf alisema yeye hamuogopi mtu yyte huku ko issue kama anaifahamu hawez kushindwa kusema kikubwa awe kwenye mudi[emoji38][emoji38]