Loving you Mahondaw

Loving you Mahondaw

Daah! Hatari sana
Unaeza kujikuta umemnyima mchezo Watu8 akaamua kujivua gamba akajiita Shimba ya Buyenze akakupata 😂😂

Mie ndio maana naambia watu ukiamua kumkataa mtu humu basi wakatae wote tu manake unaweza kujikuta unazunguka bure tu
Jojo umeniita?

Mambo yao tuwaachie wenyewe. Sema tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana!
 
Kwa msioelewa ngoja niwasamaraizie msipitwe na udambu udambu, unajua wambea hatunyimani ubuyu!!

Iko hivi baada ya penzi la Mahondaw na Smart911 kusumbua sana miaka iliyopita, wakatokea waasi wakapindua serikali ya chama tawala…..ikaenda vurugu ya hapa na pale chama tawala kikijitahidi kurudi madarakani lkn wapinzani wakagoma.!!
Bibie akaona isiwe shida akaingia chimbo kujifua, uko ndio kaibuka na mabomu kasambaratisha waasi wote
Sasa hivi karudisha uongozi wake anatamba km hivyo.!!

wew na kantr mnajua kutoa gud samalaization mpka raha ile selfika2 nilikua sielewi ni nni hiz vijembe jaman si mmoja anieleweshe nipate hata kakonsepti kadogo ndo nikasimuliwa kidogo moyo wang ukapat amani nikiwa mkubwa nataka kuwa kama wao akiii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom