Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,242
- 86,923
Ngoja nikaku tag nimecheka mpk walitaka kunipiga faini 😂😂😂😂Kani tag tafadhari.
Ngoja nikaku tag nimecheka mpk walitaka kunipiga faini 😂😂😂😂Kani tag tafadhari.
Wee sema kweliNgoja nikaku tag nimecheka mpk walitaka kunipiga faini![]()




😂😂😂😂 we jina zuri hilo??hivi unajua mnanichekeshaa sana? Ko kila mkikaaa issue ni hiyo ya yeye kuitwa sele? Woiiiiiih
Mbona mambo yao nishaawaachia wenyewe eti.
Kantry anacheka hiyo sele mpk machozi, na wakati hana tabia ya kucheka. Yy ukimuambia kitu anatabasamu tyuu!! Ila hii mpk nimemshangaa 😂😂😂😂😂😂Wee sema kweli![]()
Subiri ukaone nakutag ss hivi 😂😂😂Wee sema kweli![]()
Kabeeeeeesa rafiki. Tatizo binadamu ni wabishi sanaaaa!Nilichoelewa na wengi mmeshindwa kumuelewa antonnia ni je kufanya hivi kosa lipo wapi?
Wakiamua kuachana wameamua wao, wakiamua kurudiana wameamua wao sisi hatupaswi kuhoji sana wala kufatilia sana, ni wao wameamua. Kwa kifupi ni maamuzi yao ambayo sisi hayatuhusu kabisa. Ndio maana anasema mambo yao tuwaachie wenyewe
we jina zuri hilo??
Kantry mwenzio muda wote anacheka hilo jina la sele



sasa bora mie niliyemuita Sele, je ningerudia akicho kisema yule mdada aliye mgomea kushuka kwenye gari?Kantry anacheka hiyo sele mpk machozi, na wakati hana tabia ya kucheka. Yy ukimuambia kitu anatabasamu tyuu!! Ila hii mpk nimemshangaa![]()





Weee kipi kingine iko?? 😂😂😂😂sasa bora mie niliyemuita Sele, je ningerudia akicho kisema yule mdada aliye mgomea kushuka kwenye gari?
Udugu ulipitwa na mengii,, mweeeeh
Madako yako 😂😂😂😂😂
"Wee selemanii wee eeeh seleeee"
Nimecheka km mwehu 😂😂😂😂😂Nshaonaa ni noumaaa![]()
Mahondaw , when I met you... There was peace unknown... I set out to get you...
I was soft inside... There was something going on...
Mahondaw you did something to me... That I can't explain... I will hold you closer to make you feel no pain...
Tender love is blind... It requires a dedication... All this love we feel... Needs no conversation...
We ride it together... Making love with each other... That is what we are... No one in between...
How can we be wrong... stay with me... And we rely on each other...
If the love was gone... Everything is nothing...
And we got no doubt... Too deep in love and we got no way out... And the message is clear...
This could be the year for the real thing... No more will you cry... We start and end as one...
View attachment 2892128
Hainaga makombo.
Sio kweliMimi sinaga tatizo huku akuu.
Vipaji ni muhimu vikaendelezwa lakini😁😁
Ww dogo ni snitch, naamiini hakuna sehemu antonnia amekukosea.hivi unajua mnanichekeshaa sana? Ko kila mkikaaa issue ni hiyo ya yeye kuitwa sele? Woiiiiiih
Mbona mambo yao nishaawaachia wenyewe eti.
Huyu dogo kaamua kufurahisha watu kwa muda mfupi na kuharibu urafiki wa muda mrefuKantry anacheka hiyo sele mpk machozi, na wakati hana tabia ya kucheka. Yy ukimuambia kitu anatabasamu tyuu!! Ila hii mpk nimemshangaa 😂😂😂😂😂😂
What if kilichosemwa sio kweli?sasa bora mie niliyemuita Sele, je ningerudia akicho kisema yule mdada aliye mgomea kushuka kwenye gari?
Udugu ulipitwa na mengii,, mweeeeh