Loving you Mahondaw

Loving you Mahondaw

Ni siku na wakati mwingine wa kuja kukesha hapa kwa Smart na Mahondaw. Kama tulivyoahidiana tupo pamoja hadi uzi utakapofika mwisho.

Nitulie sasa nianze kusoma nilipoishia jana
JamiiForums-1497927885.gif
 
Ww dogo ni snitch, naamiini hakuna sehemu antonnia amekukosea.
Juzi hapa katoka kukuwish birthday, Ila ww umeamua kufurahisha watu kwa muda mfupi bila kujali urafiki na undugu mlionao wa muda mrefu
Naamini mmeshirikiana mengi, Leo mnaweza tena kuaminiana?
Muda wa kunywa dawa umefika, unajua bado hujapona.!! Halafu yameshaisha sisi ndugu hatugombani.! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ nyooko weee
Nampa kampani ya kufurahi udugu wangu kwa kumrudisha mumewe nyumbani ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Unakichwa kibovu sana haki tena๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Dah. Bora sasa mko pamoja na Kantri . shem moyo umefurahi mimi na mwenzangu tutawaalika dinner party weekend hii[emoji3][emoji2089]
Aimen ๐Ÿ™
Wizzy Countrywide tuna mualiko wa dinner huku, Omulasil ana jambo lake sijui anataka kututambulisha nani kaukamata mtima wake ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom