Loveness Love Diva Binti anayekuja juu

Huyo hapo kwenye picha ni mtangazaji wa zamani wa Channel O Nonhle Thema akiwa na Mobb Deep, kwa msio mfahamu picha yake hii hapa;

nonhle-thema1.jpg
 
upo sawa kabisa kingi, huyu dada anavyo ongea anaboa sana sijui ndio sauti yake au ndio mapozi, nimesikiliza kipindi chake mara moja tu, sina hamu nae tena...c
 
Burn umenena,watu wanavyochambua humu hata karanga zina nafuu,she is doing good lets be fair...hizo habari nyingine(person) hazinihusu!
 
Huyu binti anakablog kake nafikiri kanaitwa diva255.blogspot.com
Kwa kuangalia content za blog yake anaoneka ni teenager(sijui ana umri gani)
Sijawahi kusikiliza kipindi chake clouds
Lakini kwa jinsi mambo anayoandika humo kwenye blog,ana akili za kitoto sana kama sio mtoto mfano kwenye link yake moja ameomba watu wa-vote nani MKALI WA KUSEMA M.....F......ER btn LIL'WAYNE,DRAKE sijui na nani mwingine.
 
Huyo hapo kwenye picha ni mtangazaji wa zamani wa Channel O Nonhle Thema akiwa na Mobb Deep, kwa msio mfahamu picha yake hii hapa;

nonhle-thema1.jpg
Nimependa hiyo PowerPoint kichwani... hapiti chini ya mkomamanga aisee, tutashuhudia kipilipili kikali kuliko cha Mkapa
 
Beyonce anakwambia Diva is a female version ya hustler lakini katika fact ni inamaanisha mwimbaji wa kike nguli sasa huyu kwanini anajiita DIVA?
 
ni mtoto wa Dominic Malinzi....anaongea matusi kwenye kipindi chake balaaa...
 
she has a smooth voice and sensessional talks when on air, I don't know on 1-0-1. she know how to run that late night show ya mapenzi!!!!
 
Huyu jamaa ndio atachukua mrembo wa clouds nwenye suti nyororo


Mfukunyuzi hatuoni picha wengine unless umesahau kuiattach. Kama ni tofauti ya versions basi tunaomba uiformat ili hata sisi tunaotumia window 95 tuweze kuona msitunyanyapae.

Kwa note tofauti, hivi mfukunyuzi kwa uzoefu wako wa kufukunyua mambo unaweza kutuletea picture ya dada mzuri kuliko traffic wote wanaongeza magari asubuhi pale Morocco? Bahati mabaya sina maelezo yake ya kutosha ila ni mzuri kuliko wote wa pale even though uzuri ni relative term lakini mtu yeyote awe mwanaume au mwanamke atakubali hilo bila ubishi.Yule dada anaimudu kazi yake sana san tinahitaji kupongeza.
 
Mtangazaji wa Kipindi cha Ala za Roho wa Radio Clouds FM, Loveness Dominick Malinzi ‘Diva’ ameibuka na kusema kuwa, hana hamu na aliyekuwa mpenzi wake, Mohammed Hassan ‘Morack’ na wala hataki kumsikia.

ha hahaahaaaaa..baad ya kumpromote kw kumuandalia shindano feki la sexiest man na kukapa ushind hko kaboifrend kake ss kamemwag tena?..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom