Hii barua inafanana na ile niliyomuandikia mke wangu ambaye alipoisoma alicheka sana na alinipenda mno na mpaka sasa hivi ndio mama watoto wangu! Asante sana mkuu kwa kunipeleka mbali you make my day!
Dah nimekumbuka mbali sanaaa....kweli kabisa siku hizi...OMG, LOL, TMI, eti ndo zinabeba totoz. Barua inapuliziwa perfume, vistika vya malovee, dah nacheka hadi naulizwa hapa kulikoni.