Lovely letter

M-bongotz

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,734
405
Mnakumbuka enzi za barua kama hii..

Barua.jpg
 
Hii barua inafanana na ile niliyomuandikia mke wangu ambaye alipoisoma alicheka sana na alinipenda mno na mpaka sasa hivi ndio mama watoto wangu! Asante sana mkuu kwa kunipeleka mbali you make my day!
 
Hapo kwenye mkuki kunakua na michirizi ya damu!! Kweli tumetoka mbali.
 
Na kapoda kidogo kama imetoka kwa mwanamke,mapenzi ya ukweli mpaka hata miaka 4 hujapata kitu.
 
Na kapoda kidogo kama imetoka kwa mwanamke,mapenzi ya ukweli mpaka hata miaka 4 hujapata kitu.
Vijana wa siku hizi wana raha sana unaimbisha dakika tu unajibebea mzingo...wakati enzi hizo mpaka usubiri siku ya mikesha kama wenge, ngoma....
 
Hayo ndo mapenzi ya enzi zetu, leo hii muulize mwanaume/mwanamke kama anaujuwa hata mwandiko wa mwenzie ukoje. Mambo yote ni message na simu.
 
Dah nimekumbuka mbali sanaaa....kweli kabisa siku hizi...OMG, LOL, TMI, eti ndo zinabeba totoz. Barua inapuliziwa perfume, vistika vya malovee, dah nacheka hadi naulizwa hapa kulikoni.
 
Back
Top Bottom