Naomba kuelezwa jinsi ya kuandika Letter of Interest

Barua ya expression of interest au letter of interest? Letter of interest ni nini?

Kwa uelewa wangu, barua ya expression of interest (EOI) ni barua unayoandika kwenda sehemu kuonesha nia ya kufanya kazi fulani, kuoffer ujuzi fulani etc. Mara nyingi inategemea ni kitu gani unaonesha interest nao. Pia kuna expression of interest to participate in a tender kama wewe ni mzabuni.

Kiufupi ni barua ya kawaida tu.
 
asante mkuu kuna kampuni nilipita nikaambiwa hivo niandike letter of interest nilikuwa bado sijajua ndio inakuwaje
 
Ni kama barua zingine ila kwenye hii unaandikia kampuni au taasisi ambayo bado kutangaza nafasi zilizopo.
Unachotakiwa kufanya kwenye hiyo barua ni kujieleza ni namna gani ujuzi ulionao unaweza kuinufaisha hiyo kampuni, na una weza kufanya kazi ngapi au za namna gani.
 
Utaongezea ya kuongezea
images (3).png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom