Love story of short broke black man

Ukisema pesa i earn twice or more kuliko ninao waapproach
Puuza huo ushauri wa pesa mkuu, utapigwa hela zako zote zitaishia kuonga ushindwe kufanya mambo ya maana. Jipende( kuwa smart kuanzia mavazi, usafi, nywele, ndevu, manukato n.k), achana na slay queens. Mimi sina hela za kufanya fujo mjini lakini nina list ya ma-ex visu na hata manzi ambaye ninae sasa ni wa moto na wala siongi demu anakuja geto kwa nauli yake mwenyewe. Its ok utaingia gharama za kumantain mahusiano kama vizawadi, kutoka out siku moja moja lakini akikisha izo gharama zinacheza ndani ya uwezo wako kibajeti. Nakusisitiza usitumie pesa kama chambo ya kumvuta mwanamke, hautapiga hatua katika maisha yako.
 
Mkuu ni pesa tu amini kwamba….. mkono mtupu haulambwii

Namaanisha matunzo yatafanya upendwe,, sasa Kama hu bahili nani anataka mateso kwenye mahusiano bro
Kwenye zama hizi za 50/50 ambazo mwanamke umepewa access zote za kujipambambania unawajibika kujitunza wewe mwenyewe. Kama hauna kazi basi jukumu la kukutunza ni la wazazi/walezi wako. Msiwabebeshe vijana majukumu ya baba zenu.
 
We una shida zingne tu, mbna mm Nina urefu 5.5 na nmeshalala na mademu karibia 400. Nina wengi wazuri Hadi mm mwenyew nawakata
 
Wewe una sifa ipi kati ya izo 3 ulizotaja ili tujue cha kukushauri? uenda sifa yako sio tatizo ni inferior complexity yako. Kwa ushauri wa jumla tongoza demu ambaye demand yake sio kubwa sokoni. Mademu wenye uzuri wa sura, ukubwa wa tako au vyote kwa pamoja(wenye jiji lao wanawaita pisi kali) hao demand yao ni kubwa kwaiyo achana nao. Mawindo yako lenga mademu wenye muonekano kawaida tu in fact hawa wengi ndio wanakuaga wife material, anyway umri wako bado haujachelewa mke hatafutwi atatokea tu katika mazingira na muda ambao haukutarajia. Jipende, fanya kazi, ishi maisha yako usiyape mapenzi kipaumbele kikubwa sana.
Asante kwa matumaini ....ila nitajaribu kutongoza wasio na demand ila sifa zote hizo ninazo mkuu
 
Puuza huo ushauri wa pesa mkuu, utapigwa hela zako zote zitaishia kuonga ushindwe kufanya mambo ya maana. Jipende( kuwa smart kuanzia mavazi, usafi, nywele, ndevu, manukato n.k), achana na slay queens. Mimi sina hela za kufanya fujo mjini lakini nina list ya ma-ex visu na hata manzi ambaye ninae sasa ni wa moto na wala siongi demu anakuja geto kwa nauli yake mwenyewe. Its ok utaingia gharama za kumantain mahusiano kama vizawadi, kutoka out siku moja moja lakini akikisha izo gharama zinacheza ndani ya uwezo wako kibajeti. Nakusisitiza usitumie pesa kama chambo ya kumvuta mwanamke, hautapiga hatua katika maisha yako.
📌kinachonishangaza wanawake wote wanaokuja kwenye maisha yangu wanakujaga kipindi mahusiano yao yakiwa dhaifu lakini ninapoamua kuwatongoza tu ndio wanaponikataa kidiplomasia kwakweli nimechoka kukataliwa
 
Za wakati huu wanajukwaa......naomba kupata uzoefu wenu haswa kwa wale wanaume wenye sifa hizi

1. Short (wafupi) futi 5.6 kushuka chini

2. Broke(wenye kipato cha papatu papatu)
#upambanaji mwingi

3. Black(weusi)
Mlifanikiwa vipi kupata wenza(wake,mzazi mwenzio,mpenzi kawaida nk).

Kwa maana mpaka naandika uzi huu ubao kwangu unasoma bilabila na bado kurasa 3 tu. Niingie 3rd chapter
Na kiukweli nimequit mahusiano ila nikipiga mahesabu naona natengeneza bomu kubwa sana uko mbeleni
Uzoefu sina kabisa maana sijawai attempt nikakubaliwa mpaka sasa nimekataliwa mala 47 nihatari toka sekondari ni spana tu mpaka leo.

Natamani nijifunze kutoka kwenu ili nijirekebishe inawezekana mimi ndio mwenye matatizo na siyaoni.

View attachment 2964710
Listen my guy, kuna kitu nimekiona hapo.....seems you're so desperate na mapenzi, that's the reason why unawakosa wanawake hasa unaowahitaji wewe, never show how much you are in need of someone, live your life, mind your own fuckn business, JIPENDE brother JIPENDE! , fanya maisha, jijenge kiuchumi, warembo watakuja tu (wife materials, slay queens) i swear utawakimbia...when you're in the process of buildling yoself lust ikizidi tafuta malaya piga then pita vile.
 
Word📌
 
Yawezekana hapa tunahangaika kishauri lakini kumbe huenda hujui kupiga mistari a.k.a kutongoza.
Maybe ungeweka hapa style yako ya kupiga verse maana wadada wako kibao humu ndani watakushauri unakosea wapi.
Kingine, nobody should tel u kua tafuta low quality chicks, ukiendekeza huko utakua soro tu na utakosa confidence ya pisi kali.
Chagua dem unamuelewa, imbisha, akiruka heri, akitiki kanyaga.
 
Bangida thanks man....huwa namwambia mtu ukweli kuhusu mimi nakama yupo tayari kuwa mama watoto wangu maana nipo nje ya muda lakini wanakataa mala zote
 
Hapo ndo unakosea.
You sound desperate mpaka hapo.
Mwanamke hutakiwi kumueleza shida zako maana ye ana zake Hadi zinajaa.
Unatakiwa umuonyeshe reasons za kwanini akuchague wewe over others or over alienae at the moment.
 
Mimi nina aminigi ukweli humuweka mtu huru ndio maana nawaambiaga straight forward ....kwaio iyo sio nzuri kabisa i was wrong kiukweli
 
Bangida thanks man....huwa namwambia mtu ukweli kuhusu mimi nakama yupo tayari kuwa mama watoto wangu maana nipo nje ya muda lakini wanakataa mala zote

Duuh wewe jamaa unazingua

Yaani mtu hata hamjafahamiana unaanza kumwambia habari za kuwa mama watoto…. Mambo hayapo hivyo mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom