Mimi nilifikiri unatuletea stori, kumbe unatutaka tutoe stori!! Nionavyo mimi kichwa cha habari hakiendani na kilichopo ndani! Kajipange upya!?
nilimtongoza, akakubali hajajuta kunikubalia penzi lake!
Nilimtongoza, akakubali hajajuta kunikubalia penzi lake!
umejuaje kama hajajuta labda?
Tulikutana kisimani kata yake ilikatika kamba ikadumbukia nikampa ya kwangu.
umejuaje kama hajajuta labda?
najua kwa aloniambia, asipomaanisha anachokisema ni tatizo lake si langu!
Unaonekana hufurahishwi na mapenzi ambayo yako smooth eeh, kukiwa na visanga ndio reality yako nini??????
nimesema kwasababu hutakiwi kuusemea moyo wa mtu, especially if its us women!!
nani katunga hiyo amri/sheria?
Niki-repeat alichosema na nikisema wazi si maneno yangu ni yake, kama anadanganya mimi nakuwa sijadanganya.
mwanasayansi na story wapi na wapi????
Kha ha ha ha ha ha haaaaaaaa!
Nilikushangaa nilipokuona jukwaani letu!
Mwanasayansi wetu!
ahahhahahahhah itakuwa ye ndo aling'ata nyasi!