Love melted before my eyes

Mkuu hauko serious kabisa,dolla laki 5 ni sawa na billion 10? au billion na point? nadhani ijue kwanza dollar 1 ina thamani kiasi gani kwa hela ya ki tz ndo utoe hesabu,ila hiyo billion 10 umekosea kabisa,back to topic hii story ni fiction tu matukio mengi siyo halisia kabisa
It was an oversight! Shukrani kwa marekebisho
 
Mkuu hauko serious kabisa,dolla laki 5 ni sawa na billion 10? au billion na point? nadhani ijue kwanza dollar 1 ina thamani kiasi gani kwa hela ya ki tz ndo utoe hesabu,ila hiyo billion 10 umekosea kabisa,back to topic hii story ni fiction tu matukio mengi siyo halisia kabisa

Ahahaha. We jamaa wewe me nimekupenda bureee itabidi uwekiranja wa Money Penny
Asante wangu watu walishazama huku wakajua kweli ingawa story ni true story

Thanks sister ni kweli cpo level hizo,ila pia thamani ya dola laki tano ni billion 10 na zaidi,hata hao wa level ya juu hawahongi hiyo kwa demu aliyelala nae usiku mmoja.samahani kutofautiana nawe

Shemela wangu nikusaidie tu kuwa niliandika alihongwa dola laki 3 sio laki 5
Kwa mwaka 2014 dola ya canada ilikuwa inasoma 1500 zidisha mara 300,000

1500 X 300,000 = 450,000,000 Tsh
Sasa wewe mil 450 unaona nyingii mbona dada zako mjini wanazipata na wanafanya birthday itakuwa na ma tycoons wa Canada?!

Afu dola laki 3 kwa Canada ni hela ndogo sana
Stripers wa clubs America wanaipata hiyo hela ndani ya wiki 1 ya kazi na hapo labda biashara ipo sloooooow sana
 
Thanks sister ni kweli cpo level hizo,ila pia thamani ya dola laki tano ni billion 10 na zaidi,hata hao wa level ya juu hawahongi hiyo kwa demu aliyelala nae usiku mmoja.samahani kutofautiana nawe
Weeee nae si story tuu..kwani kweli..? Mbona movie mnaangalia..embu tupishe huko
 
FAVOR OF GOD:

Basi warembo wakadondoka kwa akina Beige mamake all worried wamevaa nguo kama wametoka church akamwambia mama nimetoka kwa akina 1st class tukaenda church ndo tumerudi
1st class akasalimiana na mamake Beige wakakaaa wakafanya kazi na kupika saa 9 haooo wakadondoka kwa akina Hot Momma stori storini.

Siku ile Naive alivyorudi kule Arusha wanapiga makelele bwana kumbe yule jamaa mmarekani mweusi walipotoka kwenye wedding wakaenda kukaa kwenye gari weee wanaongea wanaangalia moon full moon, wanaangalia si unajua wamarekani na mambo yao ya moments wapo weird kidogo Naive hakuelewa kwanini anaangalia mwezi kama mganga wa kienyeji au mbwa mwitu! Ila mambo ya kidhungu bwana akaamua ku play along na yeye anashangaaa

Baadae wakaamua waondoke, wakaenda mpaka alipofikia yule jamaa hotelini, Naive anajua leo naenda kupigwa dudu bila msamaha wala hurumaa, doh akaita majina yote Yesu, Malaika, Mungu Baba wakuje kimsaidia, maana sio kwa ule ukimwi alidhania ataenda kuupata! Na hivi hatembeagi na condom ni sheedah!

Alipofika reception akaomba aende chooni amebanwa, akakimbia chooni kutoka hataki jamaaa anamsubirii reception mara akamwona waiter anapitaa akamwambia dada nakufaaa, waiter akashtuka nini tena mama, naomba nisaidie condom tu me hapa sina afu yule shemeji pale me najua anaukimwi naogopa maana nikibandua mguu hapa naenda kupigwa msasa!
Waiter akacheka na hivi alikuwa mwanaume akamhurumia akaenda store alamletea condom.10 Naive hakuamini akamwambia kaka unaitwa nani?! Akamjibu naitwa Peter.
Naive: Peter nikifanikiwa maishani lazima nirudi kukutafutaa, niandikie no yako ya simu
Peter akajua atalipwa ki mechi mechi, nyooo! Naive akaondoka kurudi reception wakaingia chumbani na yule mmarekani mweusi
akaulizwa we unaumwa?! Akamwambia ndio naharisha, yule jamaa akashangaa akaamua kumwacha basi Naive keshakuwa monster kila baada ya nusu saa anaenda chooni usiku mzima, ikafika saa 8 usiku akaacha akalalaa,
Alfajiri saa 10 akaamshwa na mmarekani, anadai chake, dah Naive akawa depressed kweli akagawa kishingo upande kwa condom!
Saa 11 akarudiwaaa, eh Naive sala zote kaomba hazijibiwiii, saaa 2 karudiwaaaa kimoyomoyo anamwambia Yesu huu uchi ujue utakatoka niache basi nikimbie walau basi nisamehe nishazini hii punishment inanitoshaaaa
Wakalaaa
Saa 3 akashtuka akaenda kuoga jamaaa akaja na mdushe wake anataka mrejesho, Naive akaanza kuliwa huku anapigwa bomba! Yule mmarekani utadhani anavutaga unga, hachooooki, Naive analia akiulizwa anajikausha nimefurahi, unajua kunipa raha kumbe analia na mengine, kakemea wee mmarekani anazidisha dozi, dah kweli ukiingia uwanja wa shetano hauchomoki lazima akunyoooshe!
Wamemaliza kuoha yule jamaa akamwambia subiri tunywe chai nikupeleke,
Chai ikapigwa pale nataka kuondoka nazoa zoa pochi na viatu kugeuk mtu yupo chini kapiga magoti, heeee nashangaa kuna nini, ananiuliza will you marry me!
Naive akajibu No me skujui
Mmarekani: najua haunijuui lakini me nahisi nakujua maisha yangu yote afu we mbona mtamu sana hauishi utamu, ndio maana kila saa nakurudia!
Naive akaanza kulia, walokole kwa kulia sijui Mbinguni kuna tears competition au?!
Yule mmarekani akasimama akamkumbatia, akamwambia najua unaogopa mimi ni stranger kwako, lakini nimetokea kukupenda tu, mtoto mtulivu, mpole, umejitunza Naive akatoa macho kimoyomoyo anauliza nimejitunza?!

Mmarekani akaendelea kumwagika: me natafuta mke wa kuoa na nimetamani sana kuoa mtanzania maana wanawake wa huku hawana papara kama wa kule
Kwahiyi unasemaje mrembo? Will you marry me
Naive akamwangalia machoni weee kwa dk 1 akaona bora tu akubali maana hili kama zali tu, akakubali akavishwa peteee wakarudi round ya mwisho!
Ndio kutoka hotelini wanakutana na bibie Beige nae alikuwa na mmarekani mwenginee chumba kinginee wakaondoka wote kwa pamoja wakashushwa Mount Meru walipokuwepo wenzao

Wanafunguliwa milango kila mtu na bwana wake, Naive ndp kukisiwa na beibe mpya haamini anahisi kama dunia imesimama, wakaondoka na Beige wakiwa wanaelekea chumbani Naive anamwonyesha Beige petee, tobaaa Beige akafurahi ndio kufika mlangoni wanakutana na Hot Momma nae sijui alikuwa anadunguliwa wapi manina yule mke wa mtu lakini malaya mkubwa tu!
Wakamwonyesha pete ya Naive wakaanza kushangilia ndio kuingia ndani wanawakuta akina FukMi na 1st class wamekaaa wakaanza kushangilia hawaelewani kila mtu nae Beige akaonyesha pete yake basi makekele utadhani wapi nursery school party!

Walipotulia wakaanza kuongea polepole ndio Naive kuongea yake Fuk Mi akafurahiii na 1st classs heeee miracles do happen ila kudadeki iyo pete noumer 8 karrat with diamond ring, ni noumer fuk mi akasema kama yaaangu, wakamfurahia Naive haelewi akawa bado yupo kwenye mshtuko Beige akaaongeaaa, ah jana tukaondoka na yule bwana sijui alikuwa amelewa hata sijui, tukapigana mizinga weeee kwa raha zangu, si nina protection chini na nina minyege ya lita 5000, asbh kuamka jamaa kanirudia tena, nataka kuondoka anaomba niwe girl friend wake, nikamwambia haitawezekana hii ilikuwa fling

Na wewe sikujui huko unavyoishi utakuwa labda umeoa, inabidi kwanza nikufahamu. Like tutumie muda kufamiana.

Ndio yule bwana kutoa pete ya diamond ananiambia nakuvalisha hii friendshio ring kuwa naenda nikirudi nakuoaa! Me nikajua danganya toto tuu let me go with the flow yake nikakubali asipotokea nina hasara gani labda?! Nayayusha pete nakula hela na nyege zangu zimeshakuwa served!
Ndio natoka hotelini nakutana na bi dada Naive hapa wako na huyo shem weti tukarudishwa njia nzima yule bwana hatoi macho kwa naive anamwangalia kwenye vioo vya gari Naive anacheka anaona aibu, tumefika hapa hotelini tunafunguliwa milango mara naona Naive anapigwa denda nikasema mlokole wetu karudi misri!
Hee kwenye lift ananionyesha pete ni sheedah nilifurahije nafika mlangoni nameona mke wa mtu nae anarudi toka kutoa huduma

Eh we mke wa mtu ulikimbilia wapi nyau weee!
Hot Momma: ah me yule bwana amening'ang'ania hapo wee nikamwam mbia me mke wa mtu ndio kama.nimemuamshaaa
Tukaondoka kwenda alipofikia show ikapigwaaa kha yule bwana anamdushe kama mzimu
Kuondoka asbh nikapewa hela, dola elfu 3. Nikapewa na contacts zake nae akachukua zangu anasema lets keep intouch
Ndo ivyo jamaa canada mtaenda tu na mie wala sikubali lazima nikujee

Wenzake wakaanza kucheka, wanamfurahia Naive, Naive akazimia kwa mshtuko wakampeleka hospitali
Baada ya siku 1 akatoka, wakarudi nyumbani Naive akaondoka na mmarekani wake, Beige akaja kuchukuliwa na Mmarekani wake wote wa 4 wakarudi Dar kwa ndege
Me na fuk mi na hot momma tukarudi na kigari chetuuu!

Sasa leo ndio tunataka tuskie tango pori za tangu tulipoachanaaaa arushaaa

Itaendelea saa 11 jioni leo nipo buzy hatarious

Mbona kimya...mida mamaaaa
 
Jamani poleni sana nimewaweka
Boss wangu kaambiwa nipo huku sijui na mjinga gan watu wasiopenda maendeleo basi nimehamishwa idaraaaa, mikazi mpaka naomba poooo!
Sasa me nitaleta stori asbh na usiku mmenichongea wenyewe mnajijua mnajisoma Mungu anawaona sio vizuri Mungu hapendi

bonge la stori sema ndo mnatufanya tunapandwa na hisia...Money penny u are good kwa kwel
Pole my friend asante sana
Jaman lara 1 ni my sister msimseme vbaya najiskia vbaya sana, nampenda na she's the best yeye ndio ameni inspire kuandika stori Jamii Forum
Msitugombanishe wana familia bure, sumu zenu tupa kuleeeee
Shetani shindwaaaaa, shindrwaaaaaaa na alegeee shetani wa magomviiii

Mbona kimya...mida mamaaaa

Yani wewe ungejuaaa basi tu ungenihurumiaaa
 
ARUSHA YA MIUJIZAA:

Warembo wakafika Arusha Mount Meru mojaaa!
Wanasubiri asbh waanze rehesal ya shughuli bado siku 2 sherehe ifanyike
Asbh wakamkimbiza Naive saloo akaenda kuwekwa dawa nywele akasukiwa peruvian hair fupi ya inch 8 na 10, wakaenda spa kufanyiwa massage Fuk Mi akalipa zawadi kwa wooote, wakafanyiwa massage ya 1hr kila mmoja, baadae wakafanyiwa manicure and pedicure and waxing Naive oh inauma! Akaambiwa na Beige tulia wewee ume survive kubakwa itakuwa bikini wax, kutoka wapo wasafiiii wanang'araaa wakaenda kula

Kufika lunch Mount Meru wanaona ma pedeshee watu wa East Africa Community wamekuja kibaoo
Fuk mi akawaambia hapa mtajiju kama mtazubaaa changamsheni mapozi mfuatwe, beige akajiposition ki classic, Naive kakaa kama mpera kha! Aibuje

Akaja baba m1 kampenda bwana Naive, Beige hakuamini, oh me naitwa Frank, Naive akajiongeza wenzake wanamshangaa kweli somo limekolea, yule kaka gentlemen anambusu mpaka mkono, noumeeeer! Wakaenda pembeni wakaongea mara wanaona yule bwana anatoa business card Naive akapewa! Fuk Mi anasema tobaaa jiwe walilolikataa waashi limekuwa juwe kuu la pembeni!
Alarudi kukaa yule bwana anamwangalia mtoto Naive kapiga umini na heels zake na kitop mashaaalaaah!
Baadae Frank akaondoka wakaanza kuongea eh Naive ndo wewe what happen tumekuona umejiongezaaa, hongera kumbe unaweza wanamsifia weeee! Mara waiter akaja, na vinywajiii, tobaaa nimeagizwa table ile pale, wakaangalia wamekaa wakaka faln amazing 2 wanawaonyeshea cheers, waiter alipoweka vinywaji akampa business card Beige na Naive
Akina 1st calss wanasema weweee leo Naive Mungu kamshukia maskini, si unaona Naive tulikwambia ji pimp kidogo utaona rainy men inakuja, akapokea akawa anacheka
FukMi akawaambie nendeni mkakae nao muwasalimie si bado tupo hapa
Wakaenda Naive anatetemekaa anaogopa asiongee tena mambo ya Rose muhando anajitahidi kumsikiliza Beige yule kaka aliekuwa amekaa nae anamwambia your so quiet, Beige akamwambia ndio mdogowangu sio mwongeaji basi tu kumponyesha
Yule bwana wa Naive akajitambulisha anaitwa Samwel Jackson,
Naive: na English yake ya Ifm, nice to meet you samwel, my name is Cristela
Beige akapaliwa, Bwana wa Beige akamtakia pole pole sana mama, dah au hautumiagi hivi vitu?!
Beige hapana usiwe na wasiwasi bahari mbaya
Samwel na Cristela ( Naive) wakapiga domo weee Beige akaona yupo vzuri sasa treni ipo kwa mstari akamwambia bwana wake embu tutembee tembee kidogo nimechoka kukas kumbe anamkimbia Naive
Naive na Samwel mambo yakatikiii, Samwel kumbe na yeye ni mlokole ila mlokole braza men! Basi kumwona Naive yupo supu supu kang'ang'ania pale kwake akijua mke ndo huyu
Wakaongea wee masaa 3 mara wanabadilishana namba Samwel hataki kumwachia Cristela wake basi akina Hot Momma wakaona muda wa fitting ya nguo umefika, wakaenda kumnyofoa Naive (Cristela) kwa Samwel
Oh tuna haraka tunatakiwa mahali in less than 20min turuhusu tumwibe rafkietu, wakaagana pale na Samwel wakaondoka kwenda kumchukua Beige haooo mpaka kwa hotel
wakaja kufitishwa nguo zipo sawa, wakaenda church for rehesal wakapangwa na wale wanaume wanaelekezwa jinsi ya kutembea. Wakafahamiana pale na Partners wao lakini partner wa Naive hakujaaa sijui ka stuck wapi sijui ndege inaingia keshooo
Basi Fuk Mi akasimama na Naive anamfundisha step na kutembea na kusmile kama mdada, Naive akawezaaa, wakamshangilia pale Upendo anashangaa kumbe mtoto wa Mungu ameshaweza ku level na wenzakee
Rehesal ikaisha wakarudi hotelini wanachokozana

Beige anawapa ubuyu wa Naive kumdanganya yule bwana kuwa anaitwa Cristela!
Wakachekaaa jaman naive mjanja ee ungetaja naive angekimbiaaa wakachekaa
Hot Momma: lakini bwana wa Naive mzuuuri anaitwaje
Naive: Samuel, basi mwenyewe anatamka kiswahili samweli! Kiru wakamsahihisha wakamfundisha kidhungu ni semiol inatamkwa semiol waingereza akina 1st class wanachekaaa jaman ada ya IFM imeenda bure uuuwi shida nazi ni balaaa wakacheka woteee
Baadae akaingia Upendo anawaonyesha picha ya mkaka wa Naive, tobaaaa anamacho pakaaa, black american mzuuuuri Nauve akachanganyikiwaa akamsahau Samweli wake anamtaka jibapa jipyaaa
Hajui anafanyaje aliposkia anaongea english tuuu! Tobaaa elimu imeota nyasiiii! Anataka apigwe darasa usiku huo huo
Hot momma akasema utakoma ng'ombe hanenepi kwa siku mbili utaisoma namba afu ndo hapo awe amekupendaa utajiju lazima uajiri watafsiri sijui toka kanisani au hapa kwa grup letu
Wakaanza kucheka
Baadae Upendo akaja kuchukuliwa na mmarekani wake anaambiwa kesho muwahi saloon saa 1 muwe mmefika akaondoka wanamwonea tu raha

Wakamgeukia Cristela Naive
Sasa mama kama Upendo aliweza kuiva na mwanaume na wewe utaweza wakaanza kumwongelesha english pale awe anajibu wajue yupo level gani wakakuta yupo class D yule mmarekani akija atajuta, wakaanza kumpiga msasa wa rasha rasha akaweza
Siku ya pili ikawa wapo tu ndani wanampiga msasa mara Samuel akapiga simu, akaambiwa pokea u practice kidhungu weka loud speaker tukuskie
Akaweka akawa anaongea kidhungu mtoto wa Ifm uzalendo ukamshinda Samuel anataka atoke nae out

mavi yakambana akamwambia ngoja nakupigia dk 15 akakata simu, anauliza nafanyaje
Mara simu ya Frank hiyoo, Beige anacheka tu leo picha la kihindi limemkuta mlokole uptight!
Akapokea na ya frank uzuri frank ni kiswahili akakishusha kiswahili pale weee, akataka aonwe akajibu nipe dk 15 nakupigia akaomba ushauri kwetu tukamwambia we bwege usiache hata 1
Sasa hivi toka na Frank
Usiku toka na Samwel kesho kutwa utoke na Frank Usiku Samwel mchana uone wana behave vipi
Alafu perfume tumia hii akajibu Fuk Mi sio izo spray zako za vanila sijui nini acha ujinga unukie akampa perfume 4 mbili za mchana mbili za usiku, shower gel mbili mafuta ya kupaka mbili deodorant 3 kha! Kweli kuwa mwananke sio mchezo wandugu Naive darasa linamkoleaa anaona keshafeli mambo kibao, kha! Urembo wa ukubwani sheedah
Akampigia samuel wake tuonane for dinner na frank for lunch
Lunch kavaa trouser na flip flops na top Uzuri Naive hana tumboo Frank amechanganyikiwa kumwona Naive mtoto mashaalah!
Akarudi saa 12 jioni kuanzia saa 6 mchana wambea tunasubiri kuambiwa keshapugwa dyu dyu au kapigana na dyu dyu
Akaja kusema hamna kitu mtu mwenyewe anasemeshana na Waiter vibaya nikajua hapa huyu mashauzi mshenzi sana, baadae nikamfuata waiter nikamwomba msamaha nikampa na elfu 10 yeye akiwa chooni

Wenzake wakampigia makofi well done sasa usinge date ungeyajuaje na umerudije hapa?!
Naive: nimechukua taxi nikamkimbia atajiju
Wakampigia makofi unaona sasa raha ya kudate?!

Haya usiku uende na condom 4, akashtuka zote 4
Hot momma: ina maana yote tulioongea kwenye gari we haujaelewa au?! Embu kaoge kwanza maana una nusu saa tu huyu samuel aje
Akaoga tukamremba makeup kiduchu akapendeza tukampa na earing nzuri akavaa na kigauni kifupi juu ya magoti mwenyewe anaona aibu alishazoea kuvaa mashukaaa!
Samuel akaja kumwona nahisi alidinda! Wakaondoka hao wambea tunachungulia dirishani, anafunguliwa mlango wa gari anakaa tukasema bwana si ndo huyu
Sie tukaendelea na yetu na Beige tunamwuliza bwana wake anaitwa nani akasema anaitwa Calvin akamuelezea wee ila roho yangu imemkataa ila sijui bwana ngoja tutaona naona ana mashauzi sana anaielezea yeye mtoto wa mkubwa kwani me nimemwuliza?! Ananionyesha kwao ghorofa kubwa kwani me nimemwomba nikajua tu huyu anani impress nimpende kwasababu ya family name na mali zao siwezi asee

Fukmi:
yani inamaana me nailivyokueleza kuhusu mume wangu Craig haukunielewa?! Mbona nilionyeshwa kila kitu

Beige: mh pale roho inanikataa kwanza ngoja nimblock mashauzi sana
Basi sie tulalala, Naive hakurudi usiku saa 12 asbh tunaskia mlango unafunguliwa sie wambeeeaaa
Bi Cristela Naive kaingiaa, nywele kule makeup kule, viatu mkononi nini mama umepigwa?! Umebakwaaa?! Vepee nywele hizi?!

Ndio kitupa umbea amezini!.
Sie: tobaaa, mwengine anasema Yesu na Maria, mwingine anasema shindwa shetani shindwa mwengine anasema asta kafirwaa weee maskini Naive wote mikono mdomoni akakaa chini tukaenda kumkumbatia analia Yesu keshatoka me nakufa mmenipoonzaa uuuwi! Basi hatuna hata muda tunamwambia tunahitajika saloon jikaze tukaenda saloon Naive hana raha kudadeki kama mzuka, tukarembwa haoo kanisani koja Naive akakabidhiwa mmarekani wake wakatembea down the isle! Bado amenuna ila haonyeshi usoni, tupo ukumbini Beige yupo buzy na msimamizi wake wanacheza sijui wamshapendana maskini, Naive kakaa kama mjane tukaenda kumfinya tukamwinua aje kucheza akacheza akachangamka tukaenda kumwitia msimamizi mwenzake aje wacheze blues mwenyewe anacheza ila hana raha
Bibi harusi amependeeza kama sui Upendo, mumewe kila saa anamchum chum kha utadhani wapo honey moon upendo anaona aibuuu,
Wengine wapo buzy na partners wao wanacheza tu si unajua wengine hatuna hata shida ya wanaume ila ndugu zetu hawa wawili ndio wanahitaji msaada wa kipekee

Hot momma na partner wake akampenda waka exchange no nikajua hapa lazima ligi lipigwe kabla hatujarudi dar

Fuki Mi na partner wake alikuwa ameoa so nothing special

Beige na yule partner wake utadhani bolt and nut kuna muda niliwaona wanaenda kwenye michongoma lakini sikuwaona wakirudi

Naive alinuna baadae akakumbuka raha jipe mwenyewe akawa anacheza na mmarekani kwa fujo, mpaka raha baada ya sherehe me na Fuk Mi tukarudi hotelini kama wafiwa, mimi nimemmiss Santos na Fuk Mi kammiss Craig tukaingia kulala kila mtu na chumba chake wote tuna minyege kweli kweli

Asbh mamwali wakaja na stori kila mtu anataka kuongea kabla ya mwenzake me na FukMi tunashangaa imekuwaje Naive amefuraji Beige amefurahi, Hot mama ndo usiseme kha sasa fujo jamani
Mara tunaona Naive anaonyesha kidole anapiga makelele aaaaaaaaaaaaaa!
Tukashangaa na Fuk Mi, haaaaa! Imekuwajeee
Naive: am engaged chile?!
Me na Fuk Mi tunashangaa how?! Na nani?! Tumevurugwa sio kitoto
Na Beige nae ana pete kidoleni anapiga kelele basi shida tupu

Hot momma hatuelewi anapiga kelele ya nini maana ye ni mke wa mtu sasa nini
Basi tukakaa tu kwenye kochi tunawaangalia kama Tv ya kijiji wamalize kupiga makelele yao.

ITAENDELEA SAA 6 MCHANA LEO

nimekupenda bure wallah, yani hamna sehemu ninayosoma bila kuacha kucheka
 
FAVOR OF GOD:

Basi warembo wakadondoka kwa akina Beige mamake all worried wamevaa nguo kama wametoka church akamwambia mama nimetoka kwa akina 1st class tukaenda church ndo tumerudi
1st class akasalimiana na mamake Beige wakakaaa wakafanya kazi na kupika saa 9 haooo wakadondoka kwa akina Hot Momma stori storini.

Siku ile Naive alivyorudi kule Arusha wanapiga makelele bwana kumbe yule jamaa mmarekani mweusi walipotoka kwenye wedding wakaenda kukaa kwenye gari weee wanaongea wanaangalia moon full moon, wanaangalia si unajua wamarekani na mambo yao ya moments wapo weird kidogo Naive hakuelewa kwanini anaangalia mwezi kama mganga wa kienyeji au mbwa mwitu! Ila mambo ya kidhungu bwana akaamua ku play along na yeye anashangaaa

Baadae wakaamua waondoke, wakaenda mpaka alipofikia yule jamaa hotelini, Naive anajua leo naenda kupigwa dudu bila msamaha wala hurumaa, doh akaita majina yote Yesu, Malaika, Mungu Baba wakuje kimsaidia, maana sio kwa ule ukimwi alidhania ataenda kuupata! Na hivi hatembeagi na condom ni sheedah!

Alipofika reception akaomba aende chooni amebanwa, akakimbia chooni kutoka hataki jamaaa anamsubirii reception mara akamwona waiter anapitaa akamwambia dada nakufaaa, waiter akashtuka nini tena mama, naomba nisaidie condom tu me hapa sina afu yule shemeji pale me najua anaukimwi naogopa maana nikibandua mguu hapa naenda kupigwa msasa!
Waiter akacheka na hivi alikuwa mwanaume akamhurumia akaenda store alamletea condom.10 Naive hakuamini akamwambia kaka unaitwa nani?! Akamjibu naitwa Peter.
Naive: Peter nikifanikiwa maishani lazima nirudi kukutafutaa, niandikie no yako ya simu
Peter akajua atalipwa ki mechi mechi, nyooo! Naive akaondoka kurudi reception wakaingia chumbani na yule mmarekani mweusi
akaulizwa we unaumwa?! Akamwambia ndio naharisha, yule jamaa akashangaa akaamua kumwacha basi Naive keshakuwa monster kila baada ya nusu saa anaenda chooni usiku mzima, ikafika saa 8 usiku akaacha akalalaa,
Alfajiri saa 10 akaamshwa na mmarekani, anadai chake, dah Naive akawa depressed kweli akagawa kishingo upande kwa condom!
Saa 11 akarudiwaaa, eh Naive sala zote kaomba hazijibiwiii, saaa 2 karudiwaaaa kimoyomoyo anamwambia Yesu huu uchi ujue utakatoka niache basi nikimbie walau basi nisamehe nishazini hii punishment inanitoshaaaa
Wakalaaa
Saa 3 akashtuka akaenda kuoga jamaaa akaja na mdushe wake anataka mrejesho, Naive akaanza kuliwa huku anapigwa bomba! Yule mmarekani utadhani anavutaga unga, hachooooki, Naive analia akiulizwa anajikausha nimefurahi, unajua kunipa raha kumbe analia na mengine, kakemea wee mmarekani anazidisha dozi, dah kweli ukiingia uwanja wa shetano hauchomoki lazima akunyoooshe!
Wamemaliza kuoha yule jamaa akamwambia subiri tunywe chai nikupeleke,
Chai ikapigwa pale nataka kuondoka nazoa zoa pochi na viatu kugeuk mtu yupo chini kapiga magoti, heeee nashangaa kuna nini, ananiuliza will you marry me!
Naive akajibu No me skujui
Mmarekani: najua haunijuui lakini me nahisi nakujua maisha yangu yote afu we mbona mtamu sana hauishi utamu, ndio maana kila saa nakurudia!
Naive akaanza kulia, walokole kwa kulia sijui Mbinguni kuna tears competition au?!
Yule mmarekani akasimama akamkumbatia, akamwambia najua unaogopa mimi ni stranger kwako, lakini nimetokea kukupenda tu, mtoto mtulivu, mpole, umejitunza Naive akatoa macho kimoyomoyo anauliza nimejitunza?!

Mmarekani akaendelea kumwagika: me natafuta mke wa kuoa na nimetamani sana kuoa mtanzania maana wanawake wa huku hawana papara kama wa kule
Kwahiyi unasemaje mrembo? Will you marry me
Naive akamwangalia machoni weee kwa dk 1 akaona bora tu akubali maana hili kama zali tu, akakubali akavishwa peteee wakarudi round ya mwisho!
Ndio kutoka hotelini wanakutana na bibie Beige nae alikuwa na mmarekani mwenginee chumba kinginee wakaondoka wote kwa pamoja wakashushwa Mount Meru walipokuwepo wenzao

Wanafunguliwa milango kila mtu na bwana wake, Naive ndp kukisiwa na beibe mpya haamini anahisi kama dunia imesimama, wakaondoka na Beige wakiwa wanaelekea chumbani Naive anamwonyesha Beige petee, tobaaa Beige akafurahi ndio kufika mlangoni wanakutana na Hot Momma nae sijui alikuwa anadunguliwa wapi manina yule mke wa mtu lakini malaya mkubwa tu!
Wakamwonyesha pete ya Naive wakaanza kushangilia ndio kuingia ndani wanawakuta akina FukMi na 1st class wamekaaa wakaanza kushangilia hawaelewani kila mtu nae Beige akaonyesha pete yake basi makekele utadhani wapi nursery school party!

Walipotulia wakaanza kuongea polepole ndio Naive kuongea yake Fuk Mi akafurahiii na 1st classs heeee miracles do happen ila kudadeki iyo pete noumer 8 karrat with diamond ring, ni noumer fuk mi akasema kama yaaangu, wakamfurahia Naive haelewi akawa bado yupo kwenye mshtuko Beige akaaongeaaa, ah jana tukaondoka na yule bwana sijui alikuwa amelewa hata sijui, tukapigana mizinga weeee kwa raha zangu, si nina protection chini na nina minyege ya lita 5000, asbh kuamka jamaa kanirudia tena, nataka kuondoka anaomba niwe girl friend wake, nikamwambia haitawezekana hii ilikuwa fling

Na wewe sikujui huko unavyoishi utakuwa labda umeoa, inabidi kwanza nikufahamu. Like tutumie muda kufamiana.

Ndio yule bwana kutoa pete ya diamond ananiambia nakuvalisha hii friendshio ring kuwa naenda nikirudi nakuoaa! Me nikajua danganya toto tuu let me go with the flow yake nikakubali asipotokea nina hasara gani labda?! Nayayusha pete nakula hela na nyege zangu zimeshakuwa served!
Ndio natoka hotelini nakutana na bi dada Naive hapa wako na huyo shem weti tukarudishwa njia nzima yule bwana hatoi macho kwa naive anamwangalia kwenye vioo vya gari Naive anacheka anaona aibu, tumefika hapa hotelini tunafunguliwa milango mara naona Naive anapigwa denda nikasema mlokole wetu karudi misri!
Hee kwenye lift ananionyesha pete ni sheedah nilifurahije nafika mlangoni nameona mke wa mtu nae anarudi toka kutoa huduma

Eh we mke wa mtu ulikimbilia wapi nyau weee!
Hot Momma: ah me yule bwana amening'ang'ania hapo wee nikamwam mbia me mke wa mtu ndio kama.nimemuamshaaa
Tukaondoka kwenda alipofikia show ikapigwaaa kha yule bwana anamdushe kama mzimu
Kuondoka asbh nikapewa hela, dola elfu 3. Nikapewa na contacts zake nae akachukua zangu anasema lets keep intouch
Ndo ivyo jamaa canada mtaenda tu na mie wala sikubali lazima nikujee

Wenzake wakaanza kucheka, wanamfurahia Naive, Naive akazimia kwa mshtuko wakampeleka hospitali
Baada ya siku 1 akatoka, wakarudi nyumbani Naive akaondoka na mmarekani wake, Beige akaja kuchukuliwa na Mmarekani wake wote wa 4 wakarudi Dar kwa ndege
Me na fuk mi na hot momma tukarudi na kigari chetuuu!

Sasa leo ndio tunataka tuskie tango pori za tangu tulipoachanaaaa arushaaa

Itaendelea saa 11 jioni leo nipo buzy hatarious

shikamoo money penny
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom