Love melted before my eyes

MONEY CAN'T BUY ME LOVE:

BEIGE akafunguka:

Me kwakweli hata me najishangaa sa sijui yule shetani wa kazi amerudi kwenye relationship au ni mimi tu najishtukiaa?!

Skuile tumerudi zetu toka Arusha nikaenda na yule bwana mpaka hotelini, kufika anataka mrejesho nikaweka ngumu

Wenzake: aaaah sa unabaaanaaa hauni mwenzio Naive alitoa kipapa mpaka akapigwa diamond we nawe unatuletea ujinga sa afu unamsingizia shetani

Yani umekubali kuingia kwenye kambi ya shetani afu unakataa kufanya nae show unadhani utapigwa ndoa

Beige:
Nyoe nao ngoja kwanza niendelee kama hamjameza maneno yenu na kuninunulia dinner leo

Wenzake wakacheka: enhe! Endelea mamangu endelea hapo saa 12 jioni

Beige: basi bwana me nikabana nikakaza nikajifanya simu imeingia nikasogea dirishani kuskiza nikamwambia mama ananiita home. Akang'ang'ania anataka kunisindikiza huku bado ananidonoa donoa shingoni na mara mgongoni me naongea na simu feki huku nalambwaaa

Nikageuka nikamwambia sa me naenda home nimeitwa kuna kikao cha familia

Akaniomba anisindikize nikakataaa, nitaenda tu mwenyewe, akaongeza mahaba, mh nikaona nikikaa hapa nitanogewaaaa, kaning'ang'ania weee me nikaona hapa naishiwa nguvu nikajinyofoooaaa! Weee kumbe ndio hapo niliisomaaa naaambaaaa
Kujinyofoa kwake ikawa sheeddaaah, akaja akanivuta kwa nguvu, mmh nikashtukaaa, akaanza kunikaba shingoni, me nikajua bad romance nini kumbe anamaanisha akaendelea kunilaaa me najinyofoa sa show ishaingia maji yani kama diamond anapiga show basi mvua ishaanza kunyesha na watu washakimbiaaa, nikawa najinyofoa ananilazimisha show iendelee, nikamsukuma ikawa kosa alivyonikamata nikakatwa kibao, ngumii nikaangukia nisipokujuaaa
Akaendelea kutukana you fuking bitch you fuking whore! Hapo naskilizia matusi na maumivu nipo chiniiii, akaja akaniinua, anataka sass avue suruali aniingie kwa nguvu, nikajisemes hapa ukiwmi nauona huooo sibakwi kizembee, nikapata nguvu ya kumpiga tege kwenye dyu dyu akawa na yeye anaskilizia maumivu nikampiga ngumi ya mgongo akaanguka chini, nikakimbiaaa
Break ya kwanza polisi, kuna mtu anataka kunibaka, chukua askari mpaka Hyatt Regency wanamwulizia yule mmarekani kumbe keshaondoka muuuda, polisi ananiuliza unataka tuende airport kumkamataa, mh me nikafkiria sasa hii kesi ya nyani na kesi ya ngedele polisi mwenyewe huyu naona akipewa madolari me napigwa chini, nikamwambia ngoja kwanza niende home, nimeshajua pa kumpata, nikishamkamata najua hajaondoka nakupigia fasta unakuja. Ndege yake sio ya leo ni ya kesho kutwaaa, ngoja nikamsake mahali flan nikimkuta tu nakupigia polisi akakubali me nikaondoka na RB yangu polisi nikamrudisha kazini kwake. Nikakimbilia kwa 1st class, haelewi nimekuwaje nikamaambia namtafuta Jack!
Akasema Jack keshaondoka wameondoka na wageni wa mume wa Upendo like 2 hrs ago amekufanyaje?!
Nikamjibu hamna kitu ngoja kwanza niende nyumbani ntakutafuta

Nikakaaa wee naliiiaaa, nikaona huyu mngese tu kwanza ngoja nikaicheki hii pete, skuhiyo nipo ofsini lunch time nikachopoka mpaka kwa sonara, kucheki pete kumbe sio OG ni fake OG sipewi hata sumni
Nikakooooomaaaa, nimetumiiiikaaa kwa kupenda mwenyewe lkn nilitegemeeeaaa kuw labdaaa pete itanifuta jaaaashoooo



So mamangu Naive umshukuru sana Mungu, wa kwako uliandikiwa na Mungu me hakuwa wa kwangu ndio wale ma bazazi tunawaita team bubaaaa nimepewa dyu dyi sawa na kipondo juu na sijui kwanini nilikataaa labda ni ukimwi alikuwa nao maana hapo nyuma tulipiga na condom

Baada ya miezi 3 kabla hatujaenda kwa wedding ya Naive nikaenda kucheki afya nikakutwa mweupee kama malaikaa nikapumua

Nikawa nimetulia zangu tu ofsini, nina pending dyu dyu kibaoo zinanisumbua ndani ya ofisi 10 nje ya ofisi 20, mh nikawaza sa hapa nafanyaje sina wa kunitulizaaa
Kumcheki Gabon hapatikani simu yake haipatikaaanii, mh nikajisemea kifo cha nyani buana miti yote huteleza nikakaa zangu na maupwiru yangu sikuwa na mtu mwa kumpaaa

Kufika Canada nikasema leo namkamata mwizi wangu kwenye sherehee, wala hakutokea, nilijua atakuja lakini hakujaa, nimejikalia zangu kwenye harusi mara jobaba hiloo likaja hata silijuiii!

Oh nakupenda nakupenda nikajua ndo wale wale wa ngumi na shokaaa!
Baaada ya harusi namtafuta 1st class kumwuliza niende au nisiendee sikuoni shogangu, nikamwambia FukMi huyu stranger ananitaka sa kaniambia yupo hotel flan mkiona mpaka kesho asbh sijaja mje kuchukua maiti yenu, FukMi akacheka hii sio africa wewe ukiona umezidiwa piga kelele au piga 911 fastaaaa kkwanza bwana mwenyewe anaonekana hana hara mpango wa kukudhuru afu anaonekana pedeshee we nenda nae tu

Nikaenda nae bwana bwana bwanaa
Unajua dushe weye?! Kha! Bonge la dusheee nikajua nafwaaaa, mechi ya kwanza mapaja yote yanauma, usiku kalala nikamtorokAa maana sio kwa maumivu yale, nikapata taxi ndio kurudi hotelini, njiani nalia namlilia Mungu kudadeki, nishakuwa Maria Magdalena wa zamani uuuuwiiii, nikafika akanifungulia fuk mi ananiuliza vepee ni wewe au mzukaaa?! Nikacheka nikamwambia ngoja nikalale kwanza yalionikuta ni zaidi ya mzukaaa ila ni mimi
Asbh na ile amsha amsha ya kuwahi airport nikasahau hata kumwadithia si unajua sie watu wa kazi za watu ukuomba ruhusa lazima urudi ontime
Nikaondoka Fuk Mi akatuacha airport na Hot Momma tukarudi zetu Tz. Fuk Mi asante sana kutulipia nauli, kwa Kwelu Mungu Akubariki na kukuzidishia milele. Akupe watoto maelf kwa maelfu chini ya jua. Na Hot Momma akashukuru pia

Nikaendelea na kazi kama kawaa, mara napata simu ya Gabon, we mama upoo?! Tukaongea wee tukaonana hapo nina nyege hatarious natamani kumrukia lakn wapiii naogopaaaa maana si unajua alinitaftiaga kazi sa unaanzaje sasa?!

Akanialika kwenye harusi ya bwana wake wa zamani Naive. Sijui Toni nikaenda nimepigilia makeup toka kwa Lavie, nimepiga pamba simple but sureee, na kiatu cha wastan si unajua shughuli za watu usipendeze sanaaaa, kufika nakutana na mijeda yooote ya Hot Momma ya 1st Class ya Naive natambulishwa wenyewe wananaifurahia kama kweli, Bi harusi amewakaaa na makeup yake ya GnG kapendeeezaaa ila kama alikuwa na mimba vile au me nilikuwa naona vbaya jamaa nadhani yule binti alikuwa na mimba kama sio miezi 8 sijui
Baadae wazazi wakaongea ndio kutoa zawadi wakapewa sijui nyumba ya Dubai, Magari 2, hisa za TBL, nyumba ya Mbezi Beach na Saving ya mtoto atakae zaliwa ina mil 800 baba mkwe nomaa sie tunashangaa tu! Anasema staki mwanangu apate shida wala mjukuuu mkiwa natatizo mkujeee home

Naive: kweli Toni finally alipata alichokuwa anakitaka si mchezo kama namwona vile

Basi tukaendelea na shughuli badae naenda zangu chooni, nikawa nakata kona kuingia chooni kuna balcony ya kutenga choo cha kike na kiume si namkuta Toni anakiss na dada harusi?! Ndani ya choo cha kiume mlango ulikuwa wazi ma design, mh nikashtuuukaa, nikaendelea kujilia chabo nione itakuwaje he si mpaka wanapigana na miti, tena kavuuuu, me nadhani wale walikuwa wapenzi wa siku nyingi walee hapo katikati kuna kituuu! Maaana sio kwa mahaba yale waliokuws wanapeana, Wakashindiliana tarumbeta weeee mpaka wanamaliza me bado nakodoa kodooo, mara akaingia bi harusi, akaniona nimesimama nikajifanya naongea na simu, akaniambia umemwona wapi Toni?!
Nikajifanya naongea na simu nadhani wale walishtukaaa, mara namwona Toni anatoka akamchukua mke wake akaondoka, mkewe anamwuliza mbona unanuka vbaya ulikuwa unakunya nini?! Toni akamwambia nimekula kitu kibayaaa! Tumbo hakipo vzurii

Me nikasema huyu bi harusi zuzu kweli au ana play pretence kwasababu ya wedding, ile nawaangalia wanatoka zao dada harusi nae huyooo nikamwangaliaaa akaniambia wala usijali kila.mtu lazima apate alichoandikiwa na Mungu
Me nikamjibu hata kutembea na mume wa mdogo wako?! Kwanini?!
Dada harusi: yeye ndio kaniibia mpenzi wangu, na ile mimba unaiona pale sio ya Toni ni ya mtu mwingine am sure! Sikujui haunijuiii ila utakumbuka maneno yangu,
Mh me nikaguna zangu, dada harusi akaondoka zake ndio nikampigia simu 1st class kumwambia Mr wonder nimemwona huku ukaniambia nimutaftie no yake
Nikarudi kuisaka no yake, njiani namwona dada harusi yupo na mume wake, huyo mume sasa alinifukuziaaa weeeeeeee nikamblock kunionaaa bwana acha aanze kujipitisha pitisha nikaelewa kwanini dada harusi cheated na Toni

Naive: du! Huu mstari mbona noma prison break itasubiri miaka 100
Kabla ya harusi kuisha na baada ya kukutumia namba Nikaenda tena chooni, mara mume wa dada harusi akanifuata bwanaa, huko huko choo cha kikeee, ananishika ananichum shingoni, kwenye mikono ananing'ata boobs, mh nikasema hapa nafwaaa, nikajinyofoaaa, akaniambia leo sikuachii umenikimbia sana liwalo na liweee, nikamwambia kuwa basi mstaarabu harusi ya shem wako unatembea na kimada jamaa
Akakataa nisijiite kimadaaa, mh me nikamwambia nitakupigia akasema hapana sikuachii
Nikachukua simu yake nikasave no yangu nenda kweli nitakupigoa akapiga pale pale kablokiwa ananiambia unaonaaa?! Umeniblock me leo skuachii, basi ndio kum unblock pale basi tu aniachie, anakataa akachukua simu yangu sijui aliingoa facebook akajiadd na akaji accept kote na instagram me skujua anafanya nini akanirudishia simu, akawa anaendelea naona kabisa chuma chake kimeshakazaaa tobaaa nikasema hapa nabakwaaa, nikamwambia unajua me nipo na boyfriend wangu plz niachee sio vzuri natoka hapa nanuka ma upwiruuu! Ntakutafuta kweli, mara akaingia mtu wa usafi akatuangalia akamwambia yule bwana hiki choo cha kike wewe unafanyaje huku au niite security?

Nikamwambia dada muache huyu ni mume wangu tunatoka, tukatoka njiani ananiambia sherehe ikiisha nakufuata! Nikamjibu sawaa

Sherehe ikaisha nikajua kweli bwana yule jamaa hatanii nikamwambia Gabon me nalala hotelini leo sirudi home nimechelewa sanaa ndio kufika hotelini Gabon nae ananigandaaa!
Kha! Nikasema leo kazi ipooo, ila kwa Gabon pale nilikuwa kama narudisha shukrani ya kunitaftia ajiraaa, wala sio kivingineee,
Nikadungwa puli weeeee ila nilienjoy the guy is gentlemen hakuna mfanooo, kwanza mzuri kwenye kuzama baharini na kuisaka chumvii! Pili hafosi kama hautaki anakuacha nikaona bora tu nimpeee tena kaaavuuu! Dah hapo ndipo nilijilaumu mara 100, kutoa kavi kizungumkutiiii, all night long all night long kitandani, chini, bafuni, balcony, me ontop, him ontop, me on the side, him on my side, horse riding, mbwa kabinuka, gogo la 4G, TTCL style, paka kazaaa, m wa mwitu kabwekaaa, ngedele kadondosha embeee, mbwa anakunyaaa, mkwe analiaa, shangazi amerudiii, kha style 100 jamaaa, nikasema kweli nalipia foreign affairs sio kwa mi-style hii, nikajua huyu bwana ataamkia tena na kutaka morning sex maana usiku sijalala no correctipn hatujalala, nikaamua zangu kuchomoka mapemaaa.
Ila siwadanganyi kwa wanaume niliotembea nao huyu Gabon ni mwisho wa matatizo, he had the most long black dyu dyu ilionitosha!



Mara naskia naitwaaa kugeuka kumbe bimdashi 1st class nae katoka kufukunyuliwa sijui na nani vilee!

1st class kama nilivyoongeeeaa nimemalizaa

Wenzake wakacheka wakamwambia Beige kwahiyo we sasa upo na Gabon au?!

Beige: Gabon who?! Kwani yalionipata nina raha sasa! Hapa nilipo ni sheedah ila ngoja aongee mwengine nivute pumzi nahisi pumzi yangu itarudi akiongea mwenginee

1st Class Beyaach: dah kweli walokole wa Mwendokasi, walokole wa 4G ni tofauti na wa TTCL wale wa zamani, yeleuuuwi, ndoooroooobpee ngoja nikanunue gazeti nijipepeee

Wenzake wakacheka

FukMi:
Enhe na wewe mama kijacho tangu tulipomaliza kuongea Arusha sijakuskia tena tupe ubuyu

Hot Momma: unajua nina hamu ya mix jaman
Naombeni twendeni nikale mix, wakashangaa hawaelewi kwanini akaendelea nawaomba yani hapa nina hamu kweli kweli mpaka naskia mtoto anageuka

Tukaondoka haoo mpaka upanga kwenye mix, gari ya Fuk Mi, Hot Momma akaagiza sahani 3 za mix, kwa ajili yake tukawa tunakula kwenye gari

Alipomaliza akaanza kufunguka yani nyie niacheni tu hapa nina li kashehe 100 kidogoo!

Nahisi muda wowowote najifunguaaa, tukamaliza mix akasema embu twendeni hapo kwenye kuku wekundu tukale, mmh sie tumeshiba basi akaenda akaagiza huku anatuhadithia, kwenye gari

ITAENDELEA SAA 11 JIONI



Basi unikaribishe hata hiyo birthday part!!
 
tupia basi vipande kama 5 ivi love, mwenzio ndo faraja yangu eti hadi nipitiwe na usingizi
Uuuwi jaman asante sana
Ila leo nimechooookaaa na makazi acha tu
Hapa nina mume wa kumhudumia sina hata nguvu za kuandika

Kesho Mungu akipenda nashusha engene saa 4 asbh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom