Love melted before my eyes

Love melted before my eyes

Weweee! Nakuona nakuona single boy
Unalalamiiiikaaa niaaaaajeeee!!

Hahaha. Asante kaka, jaman mimi sio Beige mbona mnanichanganyaa?! Njoo inbox kaka nikupe no yangu tuongee seriously! Ila umenifagilia mbaya mpaka naona aibu. God Bless you
Ushatoka church bwana..tupe story
 
Asante my friend

We bwana ndio kama wale wale ambao 1st Class Beyaaacha alikuwa anawaongelea, jombaaa haupo level nayoiongelea wala hauvijui ndio maana unaboreka
Poyeee bruh!
Thanks sister ni kweli cpo level hizo,ila pia thamani ya dola laki tano ni billion 10 na zaidi,hata hao wa level ya juu hawahongi hiyo kwa demu aliyelala nae usiku mmoja.samahani kutofautiana nawe
 
Thanks sister ni kweli cpo level hizo,ila pia thamani ya dola laki tano ni billion 10 na zaidi,hata hao wa level ya juu hawahongi hiyo kwa demu aliyelala nae usiku mmoja.samahani kutofautiana nawe
Mkuu hauko serious kabisa,dolla laki 5 ni sawa na billion 10? au billion na point? nadhani ijue kwanza dollar 1 ina thamani kiasi gani kwa hela ya ki tz ndo utoe hesabu,ila hiyo billion 10 umekosea kabisa,back to topic hii story ni fiction tu matukio mengi siyo halisia kabisa
 
Back
Top Bottom