Love life circle...

umenikumbusha muvi ya kihindi inayo itwa milenge milenge ya kareena kapoor
 
Wasipochafuka watajifunzaje??

Bahati mbaya wengine hata wachafuke vipi bado hawajifunzi...au wakichafuka hawasafishiki....!!

Mshukuru Mungu jamaa network ilikuwa bado reachable!!

Babu DC!!
 
Hahahahaaaa,
am back best, but sio kiviiileeee now ntakuwa nadonyoa donyoa tuu. Tusingetengana siajabu ungekuta tunahali mbaya kiroho ila kutengana kwetu kumerejesha upya kila kitu.

Am glad to see u!
Sasa enjoy the show huku JF na huko master bedroom......
 
Wasipochafuka watajifunzaje??

Bahati mbaya wengine hata wachafuke vipi bado hawajifunzi...au wakichafuka hawasafishiki....!!

Mshukuru Mungu jamaa network ilikuwa bado reachable!!


Babu DC!!

hahahaaaa ni kwa neema tuu nimekuta bado ipo, thank God aisee.

Babu kwani wewe network huwa inakata haraka?
 
Am glad to see u!
Sasa enjoy the show huku JF na huko master bedroom......

Asante best the Big Show iko master bedroom huku ni articles tuu
 
hahahaaaa ni kwa neema tuu nimekuta bado ipo, thank God aisee.

Babu kwani wewe network huwa inakata haraka?

Kwa wale tuliopigana vitubuti...network ilikuwa inakata within a micro second....

Huwa nawaonea huruma wanavyojaribu kudandia dala dala iliyokwishajaa....na imagine, dala dala, tena ya Mbagala hadi imejaa....

Wewe mshukuru sana Mungu wako, na sasa inabidi uandike haya maneno kila mahali panapowahusu...."EXREMELY FRAGILE...HANDLE WITH EXTRA CARE"....

Nasema hivyo kwa sababu uzee wangu umenifundisha kuwa "ngekewa haidondoki zaidi ya mara moja"

Ubarikiwe sana mpenzi na wengine wote wenye kufaidi kama Babu yao.....lol!!

Babu DC!!
 

Hapo kwenye ngekewa babu umeniacha kapa ndo nini maana yake?
 
mi sijaelewa vizuri sakapal kwa obama ulikuwa unaishi vipi?..maana inaelekea ulitelekeza kila kitu oversudden!
 
Sitaki kuingia sana kwenye hii topic yako...nna maswali mengi yasiyo na majibu!

Ila langu moja: Does this mean u r back mentali!??


:faint2:
 
Mimi mwenyewe nilihamishwa kikazi na wazazi wangu nilikua namic sana x wangu nilitumia Tzs.kilo7 kurudi niliko toka.ila kwa xaxa ananiona kama choo cha ubungo baada ya kumtenda kakosa kadogotu najuta:-;-( mtaani sikatizi cku hizi kitanda na mimi,mimi na kazi ndo maisha yangu kwa sasa.
 
mi sijaelewa vizuri sakapal kwa obama ulikuwa unaishi vipi?..maana inaelekea ulitelekeza kila kitu oversudden!

Kaka yangu aliyeniachia ziwa yuko huko anaishi na ndo nilipopata guts za kumwaga manyanga kila kitu nilichokuwa nacho. Nili resign one month notice na nilikuwa na akiba yangu niaka change vidola ndo nilikuwa naishi navyo all that time, pia bro alikuwa ananisupport so life was not bad. I was free but empty inside. Nilikuwa namsaidia wifi shuhuli zake kule ana day care centre so was doing the washings and cleaning kisha ananilipa.
 
Sitaki kuingia sana kwenye hii topic yako...nna maswali mengi yasiyo na majibu!

Ila langu moja: Does this mean u r back mentali!??


:faint2:

we piga puff mbili za bange maswali yote yatapotea na utakuwa na majibu mengi kuliko maswali.
Am back ila.................... not like before. Kilichokufanya u faint ni nini? umeona mzuka au kibwengo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…