Love is eternity

Love is eternity

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,114
1425153790790.jpg1425153832768.jpg
 
Tafiti zinaonyesha kuwa binadamu ( wakiume ) anaupendo mkubwa sana na wadhati tofauti na binadamu wakike kiuhalisia, japo wengi tunadhani kuwa binadamu wakike anaupendo mkubwa zaidi ya binadamu wa kiume. Hii nikwasababu binadamu wa kike ni sehemu ya nyama kutoka kwa mwanaume. Ndo maana mwanaume anaupenda sana mwili wake tofauti na mwanamke wakati mwingine hukichukia chanzo na kukiumiza.
 
Nashangaa hata kwa ndege wewe unaleta negative au umezoea kudanganywa

Hahahaa mara nyingi mi huwa najenga vitu kwenye IMAGE kubwa na kuvileta kwenye UHALISIA wa maisha halisi mkuu.

Lakini pia kama unavyojua mkuu wenye mapenzi ya kweli si unajua wanahesabika na sio wote mamitto am i wrong ?.
 
Ni wa kumulika na tochi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom