Love is all I need right now

Love is all I need right now

Joined
Jun 30, 2015
Posts
17
Reaction score
12
Habari za mida hii wapendwa,

Mimi ni binti mmoja mtaratibu sana, sijisifii ila niko hivyo kweli. Mapenzi yamenuimiza sana, ilifika mahali nilichukia sana wanaume, niliona ni wanyama nimekaa kipindi kirefu sana bila kujiingiza kwenye mahusiano, kwani nilihitaji kujijenga kwanza niliona labda nitafute kwanza maisha then mapenzi yatakuja tu.

Kwani mapenzi yapo ukipata mtu sahihi ila sikuchoka kumuomba Mungu, hata hvyo nashukuru kwan nimetoka kwenye familia ya wacha Mungu hvyo malezi bora nimeyapata kutoka kwa wazazi na ndugu zangu nimesoma chuo, nikamaliza nikamuomba Mungu kazi akanipa kazi nzuri sana.

Sasa nafikiri ni wakati wa kuwa a wife and a mother sijui hata nimesukumwa nin kuandika humu ndani ila I d'nt need a part time guy, I need someone to be the best husbd for me and best dad to my future kids, awe na kazi either serikalini au private sector, a man who is ready to start a future a God fearing man not just that awe mtafutaji na mapenzi ya dhati awe either Mchaga, Sukuma, Nyakyusa, Mpare au Mhehe.

PM if you fall on the mentioned categories

Mbarikiwe
 
Shikamoo Nyerere, kama sio wa mentioned kabila kula ganzi tu....
 
Unawachukia watu wote kwa kosa la mmoja.

Utaendelea kupata hao "wanyama" kila siku kama hutumii akili.
 
umesoma lakin ujui kujiereza.. makaz na umri ako.
 
We mwenyewe kabila gani labda wanaume wao pia wanachagua makabila kama wewe.

Kila la kheri
 
Kila la kheri ila uwe makini wengi watakuja kwakua wanajua una kazi nk.

Mwisho usije ukajikuta hutamani kabisa hata kuwaona hao wanaume. Ila mshirikishe Mungu sana ili akuongoze umpate alie mwema. Naamini mke na mume hukutana popote na kuunda familia. Nakuombea pia.

Binafsi sitamani hata kusikia habari za mahusiano. Namshukuru Mungu nimetendwa tayari nina watoto watatu.

Kwa sasa watoto ndio kila kitu kwangu.

Kila la kheri
 
Habari za mida hii wapendwa...mimi ni binti mmoja mtaratibu sana, sijisifii ila niko hvyo kweli. Mapenzi yamenuimiza sanaaaaaa..ilifika mahali nilichukia sana wanaume, niliona ni wanyama..nimekaa kipindi kirefu sana bila kujiingiza kwny mahusiano, kwani nilihitaji kujijenga kwanza..niliona labda nitafute kwanza maisha then mapenzi yatakuja tu, kwan mapenzi yapo ukipata mtu sahihi..ila sikuchoka kumuomba Mungu, hata hvyo nashukuru kwan nimetoka kwny familia ya wacha Mungu hvyo malezi bora nimeyapata kutoka kwa wazazi na ndugu zng..nimesoma chuo, nikamaliza nikamuomba Mungu kazi akanipa kazi nzuri sana...sasa nafikiri ni wakat wa kuwa a wife and a mother..sijui hata nimesukumwa nin kuandika humu ndani..ila I dnt need a part time guy, I need someone to be the best husbd for me and best dad to my future kids, awe na kazi either serikalini au private sector, a man who is ready to start a future..a God fearing man..not just that..awe mtafutaji na mapenzi ya dhati..awe either mchaga, sukuma, nyakyusa, mpare au mhehe. PM if you fall on the mentioned categories. Mbarikiwe.
kwahiyo haya makabila wana mapenz ya dhati....!!!!
 
Back
Top Bottom