Love is all I need right now

Love is all I need right now

hujataja na siye wakurya,n'way kila la kheri,kumbuka tu hii ni duniani,huwezi kumpata mwanamme wa sifa za kufikirika ila unaweza ukampata mtu na kumtengeneza kuwa vile unavyotaka
 
Wewe kabila gani? Halaf haya mambo ya kuweka vigezo vingi namna hii wewe siunajuwa ajira ngumu siku hizi? Anyway kila la kheir.
 
wanawake bwana..

ukiwa na kazi anakutaka hata kama mshahara laki 3.

na ukiwa umejiajiri hakufikiriii hata kama una kipato mamilioni..

ndio maana wanawake maskini wa akilo wanachukuliwa na maskini wenzao wa akili pia.

kazi na ukabila havileti right partner
 
sindwa na ulegee...you seem to not be a gentleman at all. just kindly dnt piss me off. if u dnt qualify you can as well pass my post by.
 
Sidhani kama unatumia njia nzuri ya kutafuta mwenzako wa maisha.

Mapenzi sio biashara kwamba ukatundike tangazo hili usubiri wateja.

Kuna njia nyingi za kupitia mpaka umpate yule unayemtaka na sio kwamba atakuwa kamili kwa asilimia mia na hata akiwa asilimia mia sio kwamba hatoweza kubadilika baadae.

Kikubwa ni kujiandaa na lolote unapokuwa kwenye uhusiano na mtu. Binadamu tunabadilika kutokana na mambo tofauti kwenye maiisha yetu.

Tumia mda wako kumfahamu mwenza kabla ujatangaza nia ndani ya moyo wako. Maeneo unayotumia kwa shughuli zako za kila siku Ndio mwenzako yupo,jichganganye hili uwajue watu vizuri na chukua mda wako kumfahamu.

Hivyo vigezo vyako jambazi pia anaweza kuwa navyo kwahio kuwa muangalifu chukua mda wako.

Nakutakia kila la kheri kwenye kumtafuta mwenza.
 
Kwanza ww mwenywe mkali co unatoa 2 mavgezo upo dunia ipi unachagua kabila umekarr eee..
 
Back
Top Bottom