Nimefika
Unaanzia pm..sikuoni Mbona?
hahahaha ngoja akija tz nitamtega ang'atue lol
Give it a try
Nina ndugu yangu amelakamika kuhusu mpenzi wake anaye mng'ata wakati wa "love making" amebaki na makovu na alama kila mahali. Kila akimuomba jamaa haelewi anamwambia kuwa ni kati ya vitu anavyohusudu kwenye mapenzi. je afanyeje kuondoa makovu na alama.Msaidieni jamani.
Dawa yake ndogo sana.
Mwambie awe anamvika HELMET mwenzake. tena siku hizi zinapatikana kwa bei che sana. au vile vidude wanavaaga madaktari mdomoni na puani.
Ahahaha love bite kama ni hii niifamuyo mimi huisha baada ya siku moja bana hata alama haionekani kabisa...i guess mshikaji anang'ata kabisa!!!
Mahaba gani hayo ka chanjo ya polio!!!
Naomba kutangaza nia....nina uzoefu wa kuweka love bite hadi kwenye mawe.
Nina ndugu yangu amelakamika kuhusu mpenzi wake anaye mng'ata wakati wa "love making" amebaki na makovu na alama kila mahali. Kila akimuomba jamaa haelewi anamwambia kuwa ni kati ya vitu anavyohusudu kwenye mapenzi. je afanyeje kuondoa makovu na alama.Msaidieni jamani.
Hizo love bite sizijui ndo huwa inakuaje??
. . . . .Kila kitu except kung'atana.
Mzima wewe Konnie?
Zinazotokea wakati wa mabuau na romance ila hizi ni komesha mana zinaacha alama ndo lov bite mamaakee!!!
We mzushi...mwenzio TATIANA nishampiga za kutosha
Mzima, mmepotelea wapi? Yaani hapa siku hizi full kichina china