Love bite

Love bite

mwana ally

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2014
Posts
363
Reaction score
119
Nina ndugu yangu amelakamika kuhusu mpenzi wake anaye mng'ata wakati wa "love making" amebaki na makovu na alama kila mahali. Kila akimuomba jamaa haelewi anamwambia kuwa ni kati ya vitu anavyohusudu kwenye mapenzi. je afanyeje kuondoa makovu na alama.Msaidieni jamani.
 
ah!...hizi ngono zingine, subiri sku moja amng'ate pua! Love bite gani unamng'ata mwenzio chaukwelichaukweli, mwambie na yeye aanzishe mchezo wa kutia jino kwenye kirungu, akiuliza asema anajiskia raha kweli yaani hayo ndiyo mapenzi yenyewe !
 
Last edited by a moderator:
Haka kamchezo sitaki kukasikia kabisa, acheni kuiga mambo msio yajua
 
Dawa yake ndogo sana.

Mwambie awe anamvika HELMET mwenzake. tena siku hizi zinapatikana kwa bei che sana. au vile vidude wanavaaga madaktari mdomoni na puani.

Nina ndugu yangu amelakamika kuhusu mpenzi wake anaye mng'ata wakati wa "love making" amebaki na makovu na alama kila mahali. Kila akimuomba jamaa haelewi anamwambia kuwa ni kati ya vitu anavyohusudu kwenye mapenzi. je afanyeje kuondoa makovu na alama.Msaidieni jamani.
 
Nina ndugu yangu amelakamika kuhusu mpenzi wake anaye mng'ata wakati wa "love making" amebaki na makovu na alama kila mahali. Kila akimuomba jamaa haelewi anamwambia kuwa ni kati ya vitu anavyohusudu kwenye mapenzi. je afanyeje kuondoa makovu na alama.Msaidieni jamani.

Achore tatoos.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom