Love at first sight

Love at first sight

Mimi huwa namtamani mtu kwanza kumpenda labda baada ya mwaka au miezi kadhaa
 
Hahaha babu nimecheka. Sasa kufall in love at first sight si inabidi na moyo inabidi uwe karibu. If you loose your heart then you cant see. Not just love but you become blind completely you cant even enjoy nature
Kwa uzee wangu huu,

I can undoubtedly bet that it doesn't exist!!

Babu DC!!
 
Hahaha babu nimecheka. Sasa kufall in love at first sight si inabidi na moyo inabidi uwe karibu. If you loose your heart then you cant see. Not just love but you become blind completely you cant even enjoy nature

Ndiyo hayo wanayodanganyana wadogo zetu...

Sisi tunaishi kwenye reality!
 
Mie mwenzio siku hizi naamini kwenye love at first sight. Japo sasa inabidi sight iwe refreshed daily walau kwa mwaka mzima ama miwili.

Babu ntatimiza ile ahadi ya chama. Najua nnda deni nawe

Hiyo model yako nimeipenda sana.

Deni liko pale pale...jitahidi kulilipa!
 
Back
Top Bottom