Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,933
Ikiwa ni mara ya kwanza unakutana naye, ulihisi mapigo ya moyo wako yakienda kasi… vipepeo tumboni mwako… unahisi kama ulikutana naye hapo awali…unalazimika kuongea naye…huwezi kumwondoa kichwani mwako…
Unamwona akikuvutia sana... unajiona ukiwa naye... huoni mtu mwingine yeyote... your lips almost locked at first sight.... you sensed strong chemistry, biology and physics...
Hiyo ndiyo tunaita "Love at First Sight" ikiwa kivutio hicho cha awali (LIKE) kitahitimu katika kujitolea (LOVE).
LOVE is when the mutual affection and admiration(LIKE) grow to devotion(LOVE).
Lakini baadhi ya watu huwa hawataki kuweka ahadi yoyote - such don't truly LOVE the person - they just LIKE them - for selfish and temporary benefits. Many people confuse admiring (liking) someone and loving them.
Wakati upendo huzalisha hisia - lakini upendo sio hisia. Kupenda ni uamuzi wa fahamu na mgumu na kujitolea kumtanguliza mwenzi wako juu ya kila mtu na mahitaji yako mwenyewe.
Ubarikiwe