Love At First Sight

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,809
Love At First Sight

lf.jpg
 
Yup...huku ndo kweli kupenda kwa ghafla...somebody falling in love with an image!

Lakini si ajabu mabo haya, hata wanaJF kibao hapa ndani wanapenda avatar za wadada hadi wanafika bei na kufanya dating kwa PM...

Its not only politics that cooks on here!
 
Duh! Yaani humu humu JF... mtu anadata kwa Avatar tu, basi ipo kazi! Sasa inakuwaje kwa wale wenye kutumia majina ya kike wakati wao ni wanaume?
 
Na wapo wengi wa sampuli hiyo..... mmojawapo ni ......dah namuhifadhi kwa muda
 
Mie nishawai tongozwa banaaaa humu ndani na ******, i was just wondering kuwa how can you just easier bonk a chick kupitia jamvi la ma-academician ka JF?, Lol!...isn't such simple guys!

BTW nyie watongozaji nxt tm u beta read btn the lines (post za windo lako), mkawa na uhakika huyu ni he/she, mtakuja firw* bure siku ya siku araaaaa.............
!
 
Duh! Yaani humu humu JF... mtu anadata kwa Avatar tu, basi ipo kazi! Sasa inakuwaje kwa wale wenye kutumia majina ya kike wakati wao ni wanaume?
Hata mimi nimekuwa nagombana sana na watu wa nmna hii hapa JF, maana unaona wananiuliza wewe she au he? huwa najiuliza so what? maana hapa watu wanaishi anonymus sasa wewe unataka kujua jinsia yangu ya nini, kama watu wamehifadhi majina kapuni watu wanapaswa kujua kuwa wapo waliohifadhi mpaka jinsia, umri, location an kila kitu kapuni. Inaudhi kweli unakuta mtu anakujibu Dada Mbogela kwasababu tu anaona nimeweka picha ya Elizabeth Gupta kama avatar yangu, mimi nasema ni ufinyu wa kufikiria khaaaa!
 
Mie nishawai tongozwa banaaaa humu ndani na ******, i was just wondering kuwa how can you just easier bonk a chick kupitia jamvi la ma-academician ka JF?, Lol!...isn't such simple guys!

BTW nyie watongozaji nxt tm u beta read btn the lines (post za windo lako), mkawa na uhakika huyu ni he/she, mtakuja firw* bure siku ya siku araaaaa.............
!

We unatafuta ban inaonesha unahamu nayo sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom