Love at first sight!..

arnolds

Senior Member
Oct 10, 2009
105
57
wakuu tushirikishane katika hili, hivi hii kitu "Love at first sight" ina exist na inakua ni real au ni sahihi kusema

"Tamaa at first sight"?..

amani kwenu.
 
Inawezekana ikawa tamaa ama impression. U don't fall in love with the looks,u just lust.bt u fall in love with the inner beauty of a person kitu ambacho huwezi kukiona @first sight. Unaweza kuishia kuwa impressed tu, say kwa utu wema
 
When you see someone you appreciate her/his external beauty{that is close to lust] ,then you pay your attention to explore more about him/her.

When u appreciate his/her inner beauty love comes close and needs to developed .there is where both parts play role.

Kusema kweli kuna wanawake wazuri sana at first sight ,lakini ukija sikia habari zake unamuona mbaya hata hutamani hata kumuona tena.
 
Hili suala ukiliangalia tu logically i think in most cases inakua ka "lust" at first sight... Then mambo yakienda vizuri and eventually you fall in love mnaona kama ulimpenda the first time.... Thou kwaweza kua exceptions i think... hii ukiona zile aspects unazozipenda in a person for the first time....
 
Nadhani love at first sight ni pale ambapo ulitamani at first sight (or you were strongly attracted) alafu ukamkaribia, na ukadevelop love. Hapo unaruhusiwa kuifanya love iwe "retroactive" na kusema nilikupenda from first sight. ila kama in the process ulikata tamaa au ulipigwa chini basi unakaa kimya tu.
 
Inawezekana ikawa tamaa ama impression. U don't fall in love with the looks,u just lust.bt u fall in love with the inner beauty of a person kitu ambacho huwezi kukiona @first sight. Unaweza kuishia kuwa impressed tu, say kwa utu wema

Duuh! Nimependa sentensi " inner beauty". Wengi wetu we overlook how powerful that factor is in making relationships last
 
At first when you see actually you get "attracted" in a positive way (if only in the end it will bring the so called "love at first sight").This positivity makes you to explore about the person,here its not necessary by asking other people about him/her...it can be by introducing yourself to the person in a way which is "acceptable". In most cases this "exploration" brings either TRUSTING or kinume chake na hapo ndo utaamua uendelee au lah! Na kama ukiendelea na ukafanikiwa,then hapo hiyo "process" yote ndo inakuwa considered as LOVE AT FIRST SIGHT.

Tukumbuke kuwa "love at first sight" sio kile kitendo cha wewe kumuona mdada/mkaka then hapo hapo ukamtongoza na akakubali afu fasta mkaenda kuvunja amri....NO! Hiyo siyo cause you got "attracted" in a negative way ndo maana umemchukulia kama changudoa tu...I mean hujafanya "exlporation" ili ujue "the other beauties" of the person concerned. Kuna mtu alizungumzia the "inner beauty",this is extremely important cause ndo utapata kujua mambo mengi ambayo ni tofauti na "physical beauty".

Kwa maoni yangu love at first sight ipo only if you let it be,na mimi binafsi ilinitokea mnamo tarehe 07/10/2001 (Ten years ago)!
 
Inawezekana ikawa tamaa ama impression. U don't fall in love with the looks,u just lust.bt u fall in love with the inner beauty of a person kitu ambacho huwezi kukiona @first sight. Unaweza kuishia kuwa impressed tu, say kwa utu wema

kweli kabisa, kuna dada hivi karibuni nilikutana nae siku ya kwanza/kabla ya kupata nafasi ya kuongea naye wala sikuwa na time naye

lakini muda unavyokwenda na navyozidi kumfaham(her understanding,attitude na arguments)

nazidi kumpenda, kumuwaza na wivu kama mpenzi wangu vile
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom