chuma cha reli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 2,764
- 2,570
Kama ni mpenzi wa movie Kuna Moja inaitwa killing me softly ni ya kitambo Kidogo ina kisa cha love at first sightSad........but true to some extent
Hapana. Kujikinga chini ya mti na kujikinga kwenye nyumba ni tofauti. Chini ya mti unasubiri ipungue mvua uchomoke uende sehemu kwenye usalama zaidi.
Inawezekna ila kwa nilionao karibu(rafiki zangu) bdo sijakiona hcho kitu.Oooh but wapo wengi tu kama wewe and its okay lakini wapo wengine wana fall in love wanapokutana tu
True also but after breaking many heartsSometimes we settle
Oky nimekupata...lakini huoni kama unaweza kudondoka kwa utelezi wa tope?!!
Real?!!!Haijawahi tokea.
Kama ni mpenzi wa movie Kuna Moja inaitwa killing me softly ni ya kitambo Kidogo ina kisa cha love at first sight
Inawezekna ila kwa nilionao karibu(rafiki zangu) bdo sijakiona hcho kitu.
Wew hio hali ishawahi kukukuta?Yeah sema ni mara chache sana hiyo kitu hutokea
Nope baaadoWew hio hali ishawahi kukukuta?
Namkumbuka Willie. Siku ya kwanza namuona nilihisi nimeona nini sijui. Alivyokuja kuniapproach nilihisi duniani tuko wawil tu. Nilimpenda sana (mwanaume wangu wa kwanza kumpenda). Japo hatukudumu kwa sababu kadhaa ila ilinichukua muda kumuacha maana kuna kipindi nilikua kama chizi sbaabu yake. Hadi nikaanza kuitwa chizi mapenzi na rafiki zangu.
Wanaume wawili niliowapendaga wote ilikua love at the first sight..
Pole sanaa!!
Nafikiri umekomaa!!Asante nishapoa
Nafikiri umekomaa!!
Usimpende mtu kamwee!!
We ishi nae na mpe ushirikiano maisha yaende.
Nimekomaa ila bado moyo una kiherehere
Bado hujakomaa!!
Unajua mtu alie komaa??
Oooh i just got amazed with you..Actually I am unajua nilikuwa nasikia tu juu ya hiki kitu now nakiona live
kwel maisha ni magumuDah mkuu kwel maisha ni magumu mwambie rafik ako ataft kazi apambane tu kufukuzw kaz jamb la kawaida atapata tena
AiseeeWakati mwingine hata mafisi yanatusaidia kupunguza machungu ya tunaowapenda. Wakati tunasubiri kupata tunaowapenda tunadeal na mafisi