Love at first sight...

Dah mkuu kwel maisha ni magumu mwambie rafik ako ataft kazi apambane tu kufukuzw kaz jamb la kawaida atapata tena
 
Eeeeish haya bwana
Kuna swaiba wangu aliopoa kwenye daladala yeye alikuwa hana habari yoyote anacheza game tu kwenye simu bidada anamuangalia tu ikabidi nimshtu mshkaji basi jamaa ikabidi amuite ile siti tuliyookaa demu kaja bila iyana kila kitu ndio tu nisingekuwepo yule mpuuzi angealisha safari akamkaze siku hiyo hiyo
 
Huyo rafiki yako ilikuwa ni lust in the first sight duuuu
 
Nataka tu kujua nani amewahi Kuwa experienced nayo na ilikuwaje
My dear hio inakua sio mapenzi ni kutamani mapenzi ynakuja baada yake.
Mim binafsi nampenda sana mtu ambae nilipomuona nikamtamani ila imekua tofauti.
 
Oooh but wapo wengi tu kama wewe and its okay lakini wapo wengine wana fall in love wanapokutana tu
Najisemea mim kma mim tabia yangu nnapoona tu mwanzo hutamani na sio kupenda.
Pale ntakapoanza R/S na mtu basi vile ntavokaanae ndivo atanibadlisha kuja kua katika mapenzi na yeye. Na nisiempenda mara nyingi hatuishi hta kidogo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…