nadiegirlie
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 573
- 851
- Thread starter
-
- #41
Wew je?.
Good..but omba ikikukuta na upande wa pili uwe shwari, nje ya hapo....nitakupoteza my dea.Mimi no but hii experience naiona kwa rafiki yangu so I was curious
Good..but omba ikikukuta na upande wa pili uwe shwari, nje ya hapo....nitakupoteza my dea.
Ofcoz yes...be care.Yeah nimesikia watu wanapata na vichaa
Unaimani kwamba inawezekana!Mi naimani bado kuna watu wazuri waaminifu out there ukikutana naye utamjua tu
Unaimani kwamba inawezekana!
Vipi wewe binafsi imeshakutokea?
Kabla ya huyo mtu ambaye yupo naye sasa rafiki yako,Hapana lakini imemtokea rafiki yangu wa karibu sana
Kabla ya huyo mtu ambaye yupo naye sasa rafiki yako,
Hakuwahi kuwa na hisia na mvulana mwingne kabla?
Inaonekana umevutiwa na staili ya aina ya mahusiano ambayo rafiki yako yupo NATO kwa sasa?Kabla ya huyo mtu ambaye yupo naye sasa rafiki yako,
Hakuwahi kuwa na hisia na mvulana mwingne kabla?
Yap kind of..... huyo mwanaume mwenyewe simjui but the way rafiki yangu ana act nilitaka kujua kama kuna watu wengine wanafeel kama yeyeInaonekana umevutiwa na staili ya aina ya mahusiano ambayo rafiki yako yupo NATO kwa sasa?
mmmmmhhhh
Pole sana...ila hongera pia.Namkumbuka Willie. Siku ya kwanza namuona nilihisi nimeona nini sijui. Alivyokuja kuniapproach nilihisi duniani tuko wawil tu. Nilimpenda sana (mwanaume wangu wa kwanza kumpenda). Japo hatukudumu kwa sababu kadhaa ila ilinichukua muda kumuacha maana kuna kipindi nilikua kama chizi sbaabu yake. Hadi nikaanza kuitwa chizi mapenzi na rafiki zangu.
Wanaume wawili niliowapendaga wote ilikua love at the first sight..
Namkumbuka Willie. Siku ya kwanza namuona nilihisi nimeona nini sijui. Alivyokuja kuniapproach nilihisi duniani tuko wawil tu. Nilimpenda sana (mwanaume wangu wa kwanza kumpenda). Japo hatukudumu kwa sababu kadhaa ila ilinichukua muda kumuacha maana kuna kipindi nilikua kama chizi sbaabu yake. Hadi nikaanza kuitwa chizi mapenzi na rafiki zangu.
Wanaume wawili niliowapendaga wote ilikua love at the first sight..
Pole sana...ila hongera pia.
Asante mkuu
Two wow inaelekea unapenda sanaaaaaa
Napenda sana. Napenda na moyo akili kucha mpaka nywele. Nikiumiaga naumia kweli kweli.